TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii.

Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.
View attachment 2604553
VIPI MAJERUHI WA AJALI WENGINE MBONA HAMUWATAJI?
 
Uzinzi ni kawaida kwa jamii yetu ya kitanzania nikiwemo mimi.

Hapa natafuta cha 2!
 
Back
Top Bottom