TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

Sheria ya manunuzi inasemaje?
Hii nisheria ambayo ipo tailored to the IMF and WB financial regulations ambazo zinalenga fedha zinazotolewa kwa nchi husika zisikidhi malengo halisi yaliyokusudiwa ili nchi hiyo iendelee kuwa tegemezi kwao. Kuna mapungufu makubwa kwenye sheria hizi za manunuzi.
 
Bila ukatili kwa hawa watu kila siku tutakuwa tunaimba hizi nyimbo....mijeredi muhimu...
 
Asante sana Mwami Ntale kwa kumuelewesha mwenzetu kuwa watu wanaoleta mjadala sio lazima awe Mwalimu bali watu wana nia njema ya kujenga nchi yetu haya matatizo na malalamiko yamo katika jamii yetu hivyo ni muhimu kuyasema wazi yapate ufumbuzi.
 
So inabidi zifuatwe mpaka pale zikaporekebishwa mkuu
 
Anayekaguliwa si DED mkuu? Head teacher anauelewa wa manunuzi au ujenzi pamoja na masuala ya fedha?
 
Uelewa na elimu yako juu ya mambo vipo chini sana , na kifupi ni kwamba mjadala huu umezidi na ni mkubwa sana kwako hivyo ni busara uka kaa kimya ili ujifunze kutoka kwa watu wenye uelewa na swala hili.
Usiwe na hasira baada ya mgawo kwenda pembeni
 
Jengo likiwa chini ya kiwango nani anakaguliwa au nani anapata hoja?
 
Ndiyo, lakini force account majengo yanakuwa chini ya kiwango maana mnachukua local fundi wa mitaani tupu mnagawana nayo pesa
Wewe huijui Force Account. Na kwa jinsi unavyoandika, utakuwa mwalimu ulinyimwa ujumbe kwenye zile Kamati za Ujenzi, Manunuzi na Mapokezi. Kwa taarifa yako, kwa hapa Jijini Mwanza, hakuna majengo yaliyojengwa kwa kutumia Force Account yakawa chini ya kiwango. Kama unalo, nitajie moja.
 
Achana na hiyo chenga haijui chochote.
 
Kwani mi nipo Mwanza mkuu mpaka nikutajie? ujumbe wa kamati unataka posho mkuu?
 
Anayekaguliwa si DED mkuu? Head teacher anauelewa wa manunuzi au ujenzi pamoja na masuala ya fedha?
Hapna anaekaguliwa ni Mkuu washule,yani hapa mh waziri ummy tunaomb uwe makini kweny hili japo mwisho anaewajibik ni Mkuu washule na kamati yake
 
Ukweli mtupu
 
Ulijuaje kuwa vifaa vipo chini ya kiwango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…