TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

Hilo sio swali chief tusitegane?

Ndio maana nikakwambia hujui chochote kuhusu force account na hasa kutokana uelewa wako.
We mpuuzi umenyimwa ulaji ndiyo maana unapiga porojo tupu na Force Account yako utadhani wewe ndiyo ulisaini hiyo sheria ya force Account
 
Hili swala la halmashauri kununua vifaa! ….Darasa moja 20M hapo n pamoja na madawati 45 kwa kila darasa
 
Hilo sio swali chief tusitegane?

Ndio maana nikakwambia hujui chochote kuhusu force account na hasa kutokana uelewa wako kutokana na comment zako.
Kujua utekelezaji wa miradi ya serikali kwa force account ni ishara ya uelewa mkubwa?
unajua tofauti ya UDA na NUTA Jazz band? Ukimuuliza jangala ndugu yangu ana uelewa mkubwa katika hili hata Pwagu ukikutana nae ila asiwe Pwaguzi
 
Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana na matokeo yake pesa isitoshe, maana kuna dalili za wizi hapa na tuhuma zitaelekezwa kwa walimu wakuu.

Kuna kipindi ujenzi huuhuu kuna halmashauri zilitumia njia hii matokeo yake baadhi ya shule wakajikuta wanapelekewa malipo ya saruji Tsh 18,500/ kwa mfuko wakati bei ya sokoni kwa mfuko ni Tsh 15,500/ na mifuko bado haikutosha na pesa zimeisha na ujenzi ukakwama.

Kama TAMISEMI mmeliweka katika utaratibu huu ambao ukifanyika kwa uzalendo kabisa ni mzuri sana ila tu usimamizi uwe wenye umakini ili kuepusha wizi wa kuongeza gharama na kusababisha pesa kuto tosha.
Well said mkuu. Kuna harufu ya upigaji kwenye hii ishu hasa ujenzi wa madarasa mawili kila shule. Halmashauri huko kuna shida
 
Ukweli tatizo kubwa la kukwama mikakati yote ni Almashauri zetu wapo kiupigaji kuanzia kupata hata hao local fundi wanawalaximisha wakuu wa shule na kamati zao wafanye wanalota wao.
Alimashauri hazina uchungu wowote wapigaji tu
 
Shule nying ujenzi haujaanza materials bado hazijapelekwa
 
Kujua utekelezaji wa miradi ya serikali kwa force account ni ishara ya uelewa mkubwa?
unajua tofauti ya UDA na NUTA Jazz band? Ukimuuliza jangala ndugu yangu ana uelewa mkubwa katika hili hata Pwagu ukikutana nae ila asiwe Pwaguzi
Tunajadili uelewa wake kuhusu force account ndio mjadala unao jadiliwa hapa yawezekana anauelewa mkubwa kwa mambo mengine ila la force account limempita
 
We mpuuzi umenyimwa ulaji ndiyo maana unapiga porojo tupu na Force Account yako utadhani wewe ndiyo ulisaini hiyo sheria ya force Account
Nakudharau tu na kukuona mjinga hivyo tu, mimi sina njaa na hicho unacho sema ulaji na wala si mnufaika wa chochote
Lakini unaonekana ni miongoni mwa watanzania wezi maana hujui chochote ila unajifanya unajua kifupi wewe ni jinga kabisa na una uelewa finyu sana.
 
We mpuuzi umenyimwa ulaji ndiyo maana unapiga porojo tupu na Force Account yako utadhani wewe ndiyo ulisaini hiyo sheria ya force Account
Unawajua signatories wa hizo pesa ni kinanani?
 
Nakudharau tu na kukuona mjinga hivyo tu, mimi sina njaa na hicho unacho sema ulaji na wala si mnufaika wa chochote
Lakini unaonekana ni miongoni mwa watanzania wezi maana hujui chochote ila unajifanya unajua kifupi wewe ni jinga kabisa na una uelewa finyu sana.
Acha hasira dada angu
 
Kamati ya ujenzi lakini Accounting Officer ni nani?
Hahahaaaa kweli wewe hujui kitu ila unajifanya kujua, accounting officer wa fedha iliyo ingizwa kwenye account ya shule ninani?
 
Back
Top Bottom