Coolhigh
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 1,373
- 1,271
Kachagua mwenyewe ktk sel formHataki kuwa Mwalimu 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachagua mwenyewe ktk sel formHataki kuwa Mwalimu 😀😀😀
Unakuta hata hajui selform hakurekebisha walivyofungua.Kachagua mwenyewe ktk sel form
Fikiria upya ulichoandika,ujiridhishe km uko sahihi na dogo hajui anachopigania,kwamba alifaulu masomo yanayounda combination ya PCB kwa ajili ya kujiunga kidato cha tano.
Kwamba O-level hawasomi physics,chemistry na biology? Yanayounda combination ya PCB kwa advance level.
Ok.. Good Clearance.Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB
OR-TAMISEMI,DODOMA
Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye ujumbe wa kupinga kuchaguliwa masomo ya biashara (ECA) ambayo anadai hajawahi kusomea kwani yeye amesoma masomo ya Sayansi(PCB)
Mwanafunzi huyu amepata Div II:21 na masomo ya sayansi anayodai amesomea amepata DCC yenye jumla ya pointi 10. Mwisho wa pointi za wanafunzi waliopangiwa Tahasusi hii ni 8 sawa na BCC, hivyo mwanafunzi huyu hajakidhi vigezo vya kuchaguliwa katika Tahasusi hii ya PCB kulingana na idadi ya nafasi zilizopo mwaka huu.
Hata hivyo Mwanafunzi huyu hajapangiwa Tahasusi ya Biashara (ECA) kama anavyodai, bali amepangiwa kusoma Stashahada Maalumu ya Ualimu kwa Masomo ya Physicis na Hesabu katika chuo cha Ualimu Songea ambapo ni miongoni mwa Maeneo aliyochagua katika machaguo ya vyuo alianza na Ufundi, Afya kisha Elimu.
OR TAMISEMI inaendelea kumtafuta mwanafunzi huyu ili iweze kufahamu nia na shida ambayo amekumbana nayo mpaka kufikia kufanya kitendo hiki.
OR TAMISEMI inaendelea kusisitiza kama kuna mzazi au mlezi yoyote anahitaji ufafanuzi wowote awasiliane na kituo chetu cha huduma kwa wateja kwa kupiga simu namba 0735-160201 na 0262-160201 kuandika barua pepe kwenye anwani yetu . huduma@tamisemi.go.tz
PIA SOMA
- Mwanafunzi avaa mabango na kukaa barabarani akipinga kuchaguliwa masomo ya ECA ambayo hajayasomea
Dogo hajatendewa haki......
Badala ya kupeleka lawama TAMISEMI, ni vema mngejiridhisha na majibu yaliyotolewa na TAMISEMI, kwani huyo jamaa hayajui matokeo yake ya kidato cha nne? Tamisemi inaweza kubadili matokeo ya NECTA? Tuwe na hoja zenye mashiko tunapokuja jfHapo kuna namna wamefnya hawa watu ni wahuni kupindukia pia hayo mawasiliano wanayosema wanatoa ni waongo mara nyingi ukiwapigia hupati msaada wowote unasubirishwa mpka simu inakata yenyewe.....
Acha ukosoaji mkuu. Unataka kusema kumpa mtoto elimu ya msingi inahitaji mtu awe na shahada hii ya makaratasi ndio atoe elimu bora?Tanzania ni moja ya nchi zinazopuuza elimu!! Nchi nyingi sasa hivi mwalimu wa shule ya msingi ana shahada ya ualimu!!
Shule ya msingi ni muhimu sana lakini mwalimu wake ni yule ambaye hata kidato cha 5 hakuiingia. Tuna shida!!!
Wailokuwa na degree za primary education huwa wanadakwa na International schools. Hata hivyo dogo aambiwe kwamba anaweza kujiendeleza mpaka hata phD ikiwa anayo nia hiyo. Akimaliza diploma aende degree halafu Masters na phDTanzania ni moja ya nchi zinazopuuza elimu!! Nchi nyingi sasa hivi mwalimu wa shule ya msingi ana shahada ya ualimu!!
Shule ya msingi ni muhimu sana lakini mwalimu wake ni yule ambaye hata kidato cha 5 hakuiingia. Tuna shida!!!
Kweli kabisa ualimu ni wito na mbinu za kuwahamasisha watoto jinsi ya kupenda kusoma na kuweza kuandika na kufanya michanganuo. Sisi wengine wa miaka ile ya nyuma tulifundishwa na walimu wa darasa la nane, na mpaka leo tunawakumbuka jinsi walivyohangaika kutuwezesha kukamata kalamu na kuandika mwandiko mzuri.Acha ukosoaji mkuu. Unataka kusema kumpa mtoto elimu ya msingi inahitaji mtu awe na shahada hii ya makaratasi ndio atoe elimu bora?
Ualimu hasa wa msingi ni wito. Leo hii madaktari, wahandisi, wahasibu na wanasiasa wanajivunia elimu ya msingi waliyoipata kwa walimu wenye cheti.
Ualimu wa msingi ni masomo ya kawaida, saikolojia na malezi kwa watoto. Walimu tunalijua hilo
Wewe Ni msengerema fulani ivi ambaye huna lolote kichwani. Hiyo PCB ya A level utaipataje km O level hujasoma physics, chemistry and biology.Una uhakika hujachanganyikiwa? PCB ni tahasusi ya A-Level, huko chini mnasoma masomo yote.... kwanini adai alifaulu PCB!
Well, inawezekana alitamani kusoma tahasusi hiyo na alichagua apangiwe ikiwa atafaulu... lakini je alifaulu masomo hayo kuliko mengine? Anachagulia kwa hisia zake!
Kwa upande wako unayemuunga mkono, mshauri aende shule binafsi zipo kibao... atasoma akipendacho.
This is... another bullshit.
Ualimu si wito! Ila ni wito kwa shule zenye malengo madogo.wasio na dira ya mafanikio makubwa ktk taasis zao.Kweli kabisa ualimu ni wito na mbinu za kuwahamasisha watoto jinsi ya kupenda kusoma na kuweza kuandika na kufanya michanganuo. Sisi wengine wa miaka ile ya nyuma tulifundishwa na walimu wa darasa la nane, na mpaka leo tunawakumbuka jinsi walivyohangaika kutuwezesha kukamata kalamu na kuandika mwandiko mzuri.
Mwenyezi Mungu awarehemu walimu wangu wa msingi waliokwisha fariki.
Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB
OR-TAMISEMI,DODOMA
Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye ujumbe wa kupinga kuchaguliwa masomo ya biashara (ECA) ambayo anadai hajawahi kusomea kwani yeye amesoma masomo ya Sayansi(PCB)
Mwanafunzi huyu amepata Div II:21 na masomo ya sayansi anayodai amesomea amepata DCC yenye jumla ya pointi 10. Mwisho wa pointi za wanafunzi waliopangiwa Tahasusi hii ni 8 sawa na BCC, hivyo mwanafunzi huyu hajakidhi vigezo vya kuchaguliwa katika Tahasusi hii ya PCB kulingana na idadi ya nafasi zilizopo mwaka huu.
Hata hivyo Mwanafunzi huyu hajapangiwa Tahasusi ya Biashara (ECA) kama anavyodai, bali amepangiwa kusoma Stashahada Maalumu ya Ualimu kwa Masomo ya Physicis na Hesabu katika chuo cha Ualimu Songea ambapo ni miongoni mwa Maeneo aliyochagua katika machaguo ya vyuo alianza na Ufundi, Afya kisha Elimu.
OR TAMISEMI inaendelea kumtafuta mwanafunzi huyu ili iweze kufahamu nia na shida ambayo amekumbana nayo mpaka kufikia kufanya kitendo hiki.
OR TAMISEMI inaendelea kusisitiza kama kuna mzazi au mlezi yoyote anahitaji ufafanuzi wowote awasiliane na kituo chetu cha huduma kwa wateja kwa kupiga simu namba 0735-160201 na 0262-160201 kuandika barua pepe kwenye anwani yetu . huduma@tamisemi.go.tz
PIA SOMA
- Mwanafunzi avaa mabango na kukaa barabarani akipinga kuchaguliwa masomo ya ECA ambayo hajayasomea
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]Bonge moja la kiki kwa dogo
CHADEMA mtumieni
Shukrani kwa ufafanuzi,Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB
OR-TAMISEMI,DODOMA
Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye ujumbe wa kupinga kuchaguliwa masomo ya biashara (ECA) ambayo anadai hajawahi kusomea kwani yeye amesoma masomo ya Sayansi(PCB)
Mwanafunzi huyu amepata Div II:21 na masomo ya sayansi anayodai amesomea amepata DCC yenye jumla ya pointi 10. Mwisho wa pointi za wanafunzi waliopangiwa Tahasusi hii ni 8 sawa na BCC, hivyo mwanafunzi huyu hajakidhi vigezo vya kuchaguliwa katika Tahasusi hii ya PCB kulingana na idadi ya nafasi zilizopo mwaka huu.
Hata hivyo Mwanafunzi huyu hajapangiwa Tahasusi ya Biashara (ECA) kama anavyodai, bali amepangiwa kusoma Stashahada Maalumu ya Ualimu kwa Masomo ya Physicis na Hesabu katika chuo cha Ualimu Songea ambapo ni miongoni mwa Maeneo aliyochagua katika machaguo ya vyuo alianza na Ufundi, Afya kisha Elimu.
OR TAMISEMI inaendelea kumtafuta mwanafunzi huyu ili iweze kufahamu nia na shida ambayo amekumbana nayo mpaka kufikia kufanya kitendo hiki.
OR TAMISEMI inaendelea kusisitiza kama kuna mzazi au mlezi yoyote anahitaji ufafanuzi wowote awasiliane na kituo chetu cha huduma kwa wateja kwa kupiga simu namba 0735-160201 na 0262-160201 kuandika barua pepe kwenye anwani yetu . huduma@tamisemi.go.tz
PIA SOMA
- Mwanafunzi avaa mabango na kukaa barabarani akipinga kuchaguliwa masomo ya ECA ambayo hajayasomea
Tuunde tume kwa mambo mangapi?Duh noma sana, au wamembadilishia maks juu kwa juu ili kumkomoa, nashauri iundwe tume huru