chemichemi
Senior Member
- Apr 5, 2014
- 116
- 3
- Thread starter
-
- #61
Namba ya mhariri gazeti la mwananchi hii hapa 0754780647
Mimi nimesha mpigia nakumwelezaea sasa ilikumshinikiza inatubidi kila mmoja wetu ampigie iliafuatilie nakutupa tamko rasmi toka TAMISEMI
serikali hii ni chongo kwa hiyo inatazama upande mmoja hadi watu wapige kelele ndo inageukia upande wapili.,,poleni sana
serikali hii ni chongo kwa hiyo inatazama upande mmoja hadi watu wapige kelele ndo inageukia upande wapili.,,poleni sana
Mi nashangaa kweli,kwa hali hii is brn possible to be achieved?
Mtaani Kumenichosha! Tamisemi mbona kimya?? eee Mungu tukumbuke.
Daah!!kunachosha jamani na kila unapo kwenda kuomba hata tempo wanakuambia hatutaki HIST/GEO wanakuambia tunataka SAYANSI,KISW,ENG,FRENCH & MICHEZO na mwaka huu wengi tulio achwa ni wa hist/geo ,sijui tutakwenda wapi sisi???????????
lovenes Umeonae?
dah!tuvumilie tu,hao wanaotaka walimu wa English na kiswahili waje wanichukue kama wanaeleweka
Mwaka Sasa toka toka tumehitimu kwanini tusichoke? hata kama subira yavuta heri,, tumesubiri sana.
dah!sulle23
Nenda MRUMA SEC ipo usangi wilaya ya mwanga kilimanjaro
Kwani lazima muajiriwe na serikali? Nenda shule za private ila kule lazima muwe competent enough na muwe tayari kufanya kazi, siyo kuleta longolongo zenu. Mkitaka longolongo subirini ajira za serikali zitoke
Poa mwalimu,ila cyo waswahili cyo?