Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

Bora hata tungekuwa tumeenda jkt kuliko kukaa kitaa,hata jamii inatushangaa kwa jinsi tulivokuwaga busy na kitabu na tumekuwa teachers by professional lakn hatupewi ajira rasmi tuliyoahidiwa na serikali yetu inayojiita "serikali sikivu"

mi naona kilicho baki nikuwaibukia tu,humu naona tumeongea sana mpaka sasa kimya,
 
Kaka kabla hatujaendelea faham kama una saplimentary hata moja jua hupati ajira hadi ureseat mtihani tena poleni mliocheza chuoni.
 
Kaka kabla hatujaendelea faham kama una saplimentary hata moja jua hupati ajira hadi ureseat mtihani tena poleni mliocheza chuoni.

sasa wew mlupembe unamaanisha kuwa sisi tunaoongea hapa tuna supplementary,hivi ni nani mjinga aje kupiga kelele kwenye mtandao mkubwa wa kijamii kama huu kama ana supp,au unafikiri sisi ni wanasiasa tunaopenda kujionyesha?ukweli ni kwamba sisi tunaolalamika tuna sifa na tuna haki ya kupatiwa ajira labda kama una weza kuufikisha huu ujumbe kwa wahusika fanya hvyo,vinginevyo usipende kututia njaa zaidi....alright?
 

From TAMBISEMI:

1. Mjenge utaratibu wa kuomba kazi shule za binafsi.

2. Anzisheni utaratibu wa kuanzisha shule zenu wenyewe.

Wakatabahu;

Katibu TAMISemBI
(Kwa niaba ya Bunge la Katiba la Interahamwe)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
dah!ngoja ntazitafuta nami ntakujuza

niligemea nipate no. ya mkuu wa shule lakini imeshindikana,lakini kama unaweza kuandika application letter andika na uambatanishe na vivuli vya vyeti vyako kuanzia olevel na chuo kisha tuma kwa mkuu wa shule mruma sec school.
Box 7135 ugweno mwanga .ili ifike kwaharaka tuma kwa EMS.
 

Hahahahahaha!hivi na wewe wa wapi?maana utadhani sisi tupo kwenye futuhi au komedi
 
Wabongobtuna visa kila kitu tamko jiongeze mwanawane kusoma sio lazima uajiliwe na serikali ni kuongeza uelewa na mwanya wa kutafuta mwenyewe.
 

thanks,i appreciated your presence,be blassed,let me do it now
 
Wabongobtuna visa kila kitu tamko jiongeze mwanawane kusoma sio lazima uajiliwe na serikali ni kuongeza uelewa na mwanya wa kutafuta mwenyewe.

Tunatafuta ndo maana hata sasa hatuombi mchango wa our basic needs but we need ajira rasmi maana ni haki yetu
 

POLE MKUU: VP UNASUBIRI WAKUJIBU HUMU JF???:frusty:
 
Nasikia pale Dodoma TAMISEMI kuna tangazo linalo husu sisi tulio kosa ajira ,anaye fahamu naomba atujuze .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…