TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Kushindwa kuzingatia tangazo na kujifariji kuwa natuma hivyo hivyo mfumo ndio utachagua ni kupoteza muda
 
History,civics,kiswahili na geography Wamesema wasiombe,hawahitajiki(wapo wengi makazini)🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.

Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.

View attachment 2585262
Hongera sana .....kila la kheri
 
Hatuombi ualimu tu, huko tuliomba nafasi ya mwandishi wa taarifa za bunge na tulikuja kwenye usaili, Kuna zile za Baraza la kiswahili, Kuna udereva, Kuna zile za loan board na nyingine zilizotangazwa na vyuo vya tengeru, UDSM, Arusha institute n.k

NAKUAMBIA TENA ACHA ZEREU
Hajui walimu tunasoma vi ujinga vyao vingi tu
 
Kushindwa kuzingatia tangazo na kujifariji kuwa natuma hivyo hivyo mfumo ndio utachagua ni kupoteza muda
Mwaka Jana baadhi ya masomo kwenye tangazo yalikuwepo lakini kwenye mfumo hayakuwepo wakaanza kulishughulikia na kuruhusu kwakuchelewa ndiomaana hata muda waliongeza. Mwaka huu masomo kwenye mfumo yapo lakini kwenye tangazo hayapo Sasa mpaka waje kutoa ufafanuzi kuwa nanyi mtume itakuwa too late.
 
Tuangalie na hii taarifa ya leo asubuhi...

Sehemu ya kuandika hiyo namba ya form 4 haipo.
IMG_20230413_080518.jpg
 
nipotoshe nn acheni kujipa matumani someni vigezo vya tangazo msilazimishe mambo we umeisha ambiwa tunataka hivi unalazimisha halafu unasema upotoshaji sijui nn mwisho wa siku mtemwe lawana nyingi wakati mliambiwa mwazo

haya soma tangazo ilo half sema upotoshaji View attachment 2586154
Mbona kwenye mfumo zipo shule zenye uhitj wa ayo masomo
 
Mfumo wa TAMISEMI ni mwepesi kwa sababu wanajua wanadil na watu wa namna gani (Walimu). Njoo kwetu huku sasa kwa wasomi wenyewe PSRS, inahitaji uwe smart sana kichwani kuutumia. Mje mnipige nipo Kariakoo hapa Masjid Mtoro nangoja futari ya bure.
Mkiwa mmemaliza vyuo hivi katibuni mnajikutaga wajanja sana
 
Back
Top Bottom