Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Shukrani. Nimejaribu kubadilisha password nimeona inakubaliUnakosea password mzee wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani. Nimejaribu kubadilisha password nimeona inakubaliUnakosea password mzee wangu
Ingia kwenye account Yako utakuta Kila kitu Kama ulivyokiacha. Masomo yote yapoVipi wa sayansi wamewekwa?....hilo tangazo sjaona
Suala kuajiriwa mengine unayajua weweNyie mkiajiliwa ndio mnakuaga walimu wanoko balaaa
Account unatumia ya zamani. Kuhusu vyeti angalia Kama unavyo original pandisha Kama vilivyo lakini copy lazima ku certify na inashauriwa kutumia copy zilizo thibitishwaMkuu naomba maelekezo ya vyeti, tunatumia copy zenye mihuri au? Pia nimewahi kuomba before, nafungua account mpya? Msaada please my fellow senior jobless
Saa 12 asubuhi yupo shuleniNyie mkiajiliwa ndio mnakuaga walimu wanoko balaaa
Vipi umeipata hiyo copyright ya 2023?Mkuu acha kuwatia wenge wenzio maombi bado ayajaanza kupokelewa c unaona ata hyo copy right ya hyo portal ya screenshot uliyoiweka ni ya 2020 bado wataiupdate na watatoa barua yenye utaratibu wote wa kuomba na tarehe za kuomba na kama aitoshi wataongeza na cku za maombi kabisa usiwape wenge vijana kukimbilia page ya tamisemi wanaijam na kusababisha wa it washindwe fanya kazi yao kwa mdah stahiki
Acha kupotosha, Kama hutumi utulie watu tumeshatuma na wanaendelea kutuma. Utaamua mfumo, maombi tunatumawazee mmesoma tangazo mkaelewa walimu wanaoitajika kwataarifa yeni kama una shahada wanaitajika wenye shahada ya elimu ya awali na masomo ya english,biology,chemistry,mathematics na physics tu
kama wewe ni history,geography,kiswahili,civics, tangazo halikuhusu
Nitakua nakimbia mpaka mchakamchaka na watotoSaa 12 asubuhi yupo shuleni
Tangazo limeeleweka vizuri kabisa lakini tunatuma ivyo ivyo dadeq watajua hawajui, tumeshasota sana kitaawazee mmesoma tangazo mkaelewa walimu wanaoitajika kwataarifa yeni kama una shahada wanaitajika wenye shahada ya elimu ya awali na masomo ya english,biology,chemistry,mathematics na physics tu
kama wewe ni history,geography,kiswahili,civics, tangazo halikuhusu
Yaani ilimradi tu mfumo u akubali tunatuma .Tangazo limeeleweka vizuri kabisa lakini tunatuma ivyo ivyo dadeq watajua hawajui, tumeshasota sana kitaa
Mkuu kwangu attachment ya barua inagoma inasema imeshindwa due to low capacity/ memory asa cjajua Nini shida nimejaribu kui compress barua nako bado yazingua msaada apo shida Ni nnNitakua nakimbia mpaka mchakamchaka na watoto
Ina ukubwa gani hiyo barua yaani mb/kb ngapi? Na umetumia Nini kuscan? Na ku upload unatumia Nini?Mkuu kwangu attachment ya barua inagoma inasema imeshindwa due to low capacity/ memory asa cjajua Nini shida nimejaribu kui compress barua nako bado yazingua msaada apo shida Ni nn
Ina kb 164 nimetumia scanner ya epison na naupload kwa simuIna ukubwa gani hiyo barua yaani mb/kb ngapi? Na umetumia Nini kuscan? Na ku upload unatumia Nini?
Kama unatumia sim hakikisha unatumia crome, pia sim iwe kwenye desk top site mode.Ina kb 164 nimetumia scanner ya epison na naupload kwa simu
Hiyo ni picha tu kiongoziImekuaje mleta mada kala ban tena! Hahah
Utatoboa mwamba,believe me...Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.
View attachment 2585262