TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.

Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.

View attachment 2585262
hatuendagi haraka ivo😂😂
 
Utapata tu..
 
Kupiga mhuri vyeti inafanyika wap mbona wenzngu hawakuwah kupiga mihuri na wamechaguliwa mwaka Jana.
Ni hiyari maana Kuna waliohakiki wakapata na wasio haliki walipata pia. Kwahiyo tamisemi hawajatoa muongozo wowote
 
Kumbe kutuma maombi n swala la kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna lingine la pili!
 
Daaaah wa KISWAHILI, GEOGRAPHY, HISTORY NA CIVICS ndio bas tna. Huu ubaguzi sas,serikali y2 inabagua.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Acha woga tuma mombi wewe, watu tumeshatuma na wengine wanaendelea kutuma.
 
Mfumo wa TAMISEMI ni mwepesi kwa sababu wanajua wanadil na watu wa namna gani (Walimu). Njoo kwetu huku sasa kwa wasomi wenyewe PSRS, inahitaji uwe smart sana kichwani kuutumia. Mje mnipige nipo Kariakoo hapa Masjid Mtoro nangoja futari ya bure.
 
Hata huko tunatuma n interview tunahudhuria bwana mdogo acha dhereu.
 
Back
Top Bottom