TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Kama nawaona wafanyakazi wa Tamisemi hata walinzi wa ofisini wanavyopigiwa simu
 
Kila
Mkuu acha kuwatia wenge wenzio maombi bado ayajaanza kupokelewa c unaona ata hyo copy right ya hyo portal ya screenshot uliyoiweka ni ya 2020 bado wataiupdate na watatoa barua yenye utaratibu wote wa kuomba na tarehe za kuomba na kama aitoshi wataongeza na cku za maombi kabisa usiwape wenge vijana kukimbilia page ya tamisemi wanaijam na kusababisha wa it washindwe fanya kazi yao kwa mdah stahiki
kitu kimeshatolewa, suala la wewe kuwa outdated lisifanye wengine wasitume. Hiyo copyright hata mwaka Jana ilitumika hiyo. Miaka ya nyuma yake ilikuwa Ile yenye kipengele Cha kujitolea hii ya 2020 Haina na inatumika mpaka Sasa.
 
Kupiga mhuri vyeti inafanyika wap mbona wenzngu hawakuwah kupiga mihuri na wamechaguliwa mwaka Jana.
 
Daaaah wa KISWAHILI, GEOGRAPHY, HISTORY NA CIVICS ndio bas tna. Huu ubaguzi sas,serikali y2 inabagua.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom