- Thread starter
- #41
Wanaosimamia nidhamu wanapokosa nidhamu huoni kama haki haitatendeka?Hii mambo haijakaa sawa sana. Mmlaka za kidhamu za watumishi hawa wa TSC zilifanyie kazi hili suala. Maana, bila kujali wanahusika ama hawahusiki, viongozi wa TSC HQ wamechafuliwa sana.
Na hiki in tatizo sio tu LA Mkinga na Tanga mjini, ni almost wilaya karibia zote malalamiko kama haya yanasikika.
Wanapigatu dili. Wamekaa muda mrefu wamegeuza ofisi nizao