TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

Wanaosimamia nidhamu wanapokosa nidhamu huoni kama haki haitatendeka?
Wanapigatu dili. Wamekaa muda mrefu wamegeuza ofisi nizao
 
Manaibu katibu wanajadili na wakurugenzi na hawawashirikishi viongozi wengine kwenye ofisi hizo.
Wanapanga hujuma na maafisaelimu na wakurugenzi.
TSC wamesahau kama wao ni mamlaka ya kusimamia maslahi ya walimu. Wanajifanya ni mahakama zinazopokea maelekezo kutoka kwa maafisaelimu na wakurugenzi
Aibu yenu TSC
 
Mbabaishajitu eti haogopi maana TAMISEMI ni ya makada wa Tanga chini ya Ummy Mwalimu
 
Kwanza TSC ipo chini ya Mkurugenzi?wanawajibika kwa Mkurugenzi?kuwa kwenye jengo la Mkurugenzi hainamaana wako chini yake.Hawo pamoja na udhibit ubora hawawajibik moja kwa moja kwa Mkurugenz,Wanawajibika kwa Katibu m

Ahsante kwa taarifa... watachunguzwa...
Sidhani kama watachunguzwa nadhani watapewa ulinzi zaidi.
Wana uhakika wa kukaa kwenye ofisi hizo. Wapo watumishi ambao wameajiriwa mara mbili yani serikalini na private makatibu na wakurugenzi wanajua na wamewalinda lao moja
Hiyo kama sio rushwa ni nini?
Idara ya elimu bora kuanzia maafisaelimu wawe wanajeshi tu
 
TAMISEMI wameshindwa kudhibiti huo wizi maana hao tume ya walimu makao makuu walitoka Dodoma na walifika kuwahoji hao wezi wawili yani wa Mkinga na Tanga jiji lakini hakuna jipya. Itakua wamegaiwa mchongo huo nao sijui?
Haya Ummy wa TAMISEMI wabadhirifu wako hao maana ulikomalia halmashauri za wenzako wakati kwako kumeoza
 
Ningekushauri umwandikie rasmi Boss wake ili awatume watendaji wake kuja kufanya uchunguzi, ukiweka open hivi hapa inakuwa kama majungu
Boss wao ambaye ni katibu mkuu wa TSC alituma wajumbe kutoka Dodoma na walifika kuwahoji wabadhirifu hao lakini mpaka leo hawajashuhulikiwa.
Makatibu hao wa Tanga na Mkinga wanajiita wakongwe na mapapa. Ummy Mwalimu shuhulika na wanatanga wenzio ambao eti ni mapapa
Ummy ukiwaacha hao wezi kila ukichukulia hatua wakosaji utakumbushwa
 
Ummy amepiga kelele TAMISEMI na ameondolewa.
Panga la mama likipita hivi karibuni ananyolewa tena.
 
Nao huko makao makuu huwa wakipewa bahasha za kaki wanakua wapole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…