Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana, wakati kuna watu walimaliza kutuma maombi siku hiyo hiyo, hawa wanasubiri mpaka tarehe ya mwisho, na baada ya hapo wanaanza kulaumu serikali mara muda hautoshi blah blah kibao.Sasa kama mtu kamaliza 2019 na kaanza kufatilia hiyo transcript hajapata hadi leo unataka muda wa ku apply uongezwe kwa kiasi gani? Uongezwe kwa miaka mingapi?
We jamaa kataa kubali, mnapenda Sana zimamoto. Mmeanza kufuatilia vyeti baada ya tangazo la ajira
N.B NAIOMBA SERIKALI IWAPE KIPAUMBELE WALIOMALIZA CHUO MIAKA YA NYUMA NA WAANGALIE UMRI PIA,HAWA VIJANA WALIOMALIZA MWAKA JANA NDIO WANAKELELE NYINGI KULIKO WENYEJI.