TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

wewe nae nafasi chache unataka upewe mwaka kuomba ..

kutokuwa na vyeti na leseni mkononi ni uzembe wako wakutofatilia mapema.
 
Tutaongeza tu,.Wala usiwe na hofu..Mama yetu anjela kairuki Ni kiongozi msikivu na anajua changamoto za watanzania...
 
Back
Top Bottom