TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

Kuna madam humu alikuwa anasema et kazi za serikali zinachosha na hamna kitu, nikamwambia haache hiyo kazi aje huku mtaani aone jinsi jua la utosi linavyowaka.
Kiufupi mi mpaka nilijuta kusoma maana unatoka chuo unakuja kuanza A mtaani, sema nashukuru Mungu ni mwaka wa 8 napambana mitaani na ninaona mwanga,

Kikubwa sijafa ila Magufuli apewe maua yake alituweza wasomi
 
Ila mama samia anawafuta watu machozi kuna kijana mwenzangu hapa jirani kafanyiwa sherehe jioni ya leo baada ya kulamba ajira za tamisemi, mama yake mpaka amelia machozi kwa kijana wake kupata kazi, mama naye ameona wivu eti mwanangu na wewe mungu atakuona lini?
 
Usikufuru mkuubipo siku utapata na utasahau haya yote.
 
Ila mama samia anawafuta watu machozi kuna kijana mwenzangu hapa jirani kafanyiwa sherehe jioni ya leo baada ya kulamba ajira za tamisemi, mama yake mpaka amelia machozi kwa kijana wake kupata kazi, mama naye ameona wivu eti mwanangu na wewe mungu atakuona lini?
Anajitahid sana mama samia kwa hili la kupunguza vijana mtaan kampita pakubwa mtanguliz wake
 
Na mama akitoka madarakn kama mtu hajalamba asali akitokea kama magu kutakua na vilio vingi mtaani
 
Anajitahid sana mama samia kwa hili la kupunguza vijana mtaan kampita pakubwa mtanguliz wake
Mama Samia anajitahidi ila mawazir wake ni watu wa hovyo kama huyo Kairuki hamna kitu, wametengeneza system ya kuwachuja watu wa afya waliomaliza 2018 kushuka chini sijui lengo lao ni lipi
 
Japo mwak huu nmeona afy wamejtaid kdogo kupanga wa miak ya nyuma wengi
 
Pia mbona majina yapo 5000 wakati walisema 8100 kitu kama icho sasa 3000 yamenda wapi
 
Japo mwak huu nmeona afy wamejtaid kdogo kupanga wa miak ya nyuma wengi
Wengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?
 
Cjajua mkuu lakin kada nloona moja ya afya wote ni 2017 kushuka chin na wachache sana sana kama co mmoja ni 2018
 
Wengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?
Pia kwa walimu labda masomo waliyoyahitaj
 
Back
Top Bottom