Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Mkuu hii life we acha tu kitaa ni noma mkuuSisi tulishaamua kuanza hii elimu tamu ya kitaa na sasa na miaka 4 kitaani😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii life we acha tu kitaa ni noma mkuuSisi tulishaamua kuanza hii elimu tamu ya kitaa na sasa na miaka 4 kitaani😂😂😂
Kuna madam humu alikuwa anasema et kazi za serikali zinachosha na hamna kitu, nikamwambia haache hiyo kazi aje huku mtaani aone jinsi jua la utosi linavyowaka.Mkuu hii life we acha tu kitaa ni noma mkuu
Hajui tu tunayopitia ndo mana anaweza sema ivoKuna madam humu alikuwa anasema et kazi za serikali zinachosha na hamna kitu, nikamwambia haache hiyo kazi aje huku mtaani aone jinsi jua la utosi linavyowaka.
Kiufupi mi mpaka nilijuta kusoma maana unatoka chuo unakuja kuanza A mtaani, sema nashukuru Mungu ni mwaka wa 8 napambana mitaani na ninaona mwanga,Kuna madam humu alikuwa anasema et kazi za serikali zinachosha na hamna kitu, nikamwambia haache hiyo kazi aje huku mtaani aone jinsi jua la utosi linavyowaka.
Ila mama samia anawafuta watu machozi kuna kijana mwenzangu hapa jirani kafanyiwa sherehe jioni ya leo baada ya kulamba ajira za tamisemi, mama yake mpaka amelia machozi kwa kijana wake kupata kazi, mama naye ameona wivu eti mwanangu na wewe mungu atakuona lini?Kiufupi mi mpaka nilijuta kusoma maana unatoka chuo unakuja kuanza A mtaani, sema nashukuru Mungu ni mwaka wa 8 napambana mitaani na ninaona mwanga,
Kikubwa sijafa ila Magufuli apewe maua yake alituweza wasomi
Usikufuru mkuubipo siku utapata na utasahau haya yote.Kiufupi mi mpaka nilijuta kusoma maana unatoka chuo unakuja kuanza A mtaani, sema nashukuru Mungu ni mwaka wa 8 napambana mitaani na ninaona mwanga,
Kikubwa sijafa ila Magufuli apewe maua yake alituweza wasomi
Jambo jema mkuu mim watt wangu ntawekeza kwenye ufundi sio shuleKiufupi mi mpaka nilijuta kusoma maana unatoka chuo unakuja kuanza A mtaani, sema nashukuru Mungu ni mwaka wa 8 napambana mitaani na ninaona mwanga,
Kikubwa sijafa ila Magufuli apewe maua yake alituweza wasomi
Anajitahid sana mama samia kwa hili la kupunguza vijana mtaan kampita pakubwa mtanguliz wakeIla mama samia anawafuta watu machozi kuna kijana mwenzangu hapa jirani kafanyiwa sherehe jioni ya leo baada ya kulamba ajira za tamisemi, mama yake mpaka amelia machozi kwa kijana wake kupata kazi, mama naye ameona wivu eti mwanangu na wewe mungu atakuona lini?
Mama Samia anajitahidi ila mawazir wake ni watu wa hovyo kama huyo Kairuki hamna kitu, wametengeneza system ya kuwachuja watu wa afya waliomaliza 2018 kushuka chini sijui lengo lao ni lipiAnajitahid sana mama samia kwa hili la kupunguza vijana mtaan kampita pakubwa mtanguliz wake
Japo mwak huu nmeona afy wamejtaid kdogo kupanga wa miak ya nyuma wengiMama Samia anajitahidi ila mawazir wake ni watu wa hovyo kama huyo Kairuki hamna kitu, wametengeneza system ya kuwachuja watu wa afya waliomaliza 2018 kushuka chini sijui lengo lao ni lipi
Wengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?Japo mwak huu nmeona afy wamejtaid kdogo kupanga wa miak ya nyuma wengi
Cjajua mkuu lakin kada nloona moja ya afya wote ni 2017 kushuka chin na wachache sana sana kama co mmoja ni 2018Wengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?
Pia kwa walimu labda masomo waliyoyahitajWengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?
Angalia Co wengi walioajiriwa ni mwaka Gani.Cjajua mkuu lakin kada nloona moja ya afya wote ni 2017 kushuka chin na wachache sana sana kama co mmoja ni 2018
Kweli mkuu co nmeona 19 na 20 ndo wengiAngalia Co wengi walioajiriwa ni mwaka Gani.