DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Siku ukilipwa uje utoe mrejesho, tunapasa sauti mkishalipwa mnatusahau mnakaa kimya, mlivyokuwa mnatoa shukrani makanisani mmepata kazi haya kaeni kimya acheni kumjaribu MUNGU
 
Ila ni kama vile una asili ya ulalamishi sana na gubu,aisee serikalini utachokwa haraka usifanye hivyo.Tumia ngazi sahihi kueleza changamoto yako.Mf kama huridhishwi na maelezo ya afisa utumishi basi ongea na DHRO, kama huelewi rudi kwa bosi kuu wa idara yako kwanza ili labda aongee na bosi mwenzie DHRO labda utasaidika.Ukishindwa nenda kwa mkurugenzi ded/md kulingana na halmashauri ulipo.Pia eleza kwa staha changamoto za huko kulala chini ili waone namna gani huenda kuna viposho utasaidiwa wakati wanajipanga na mwaka mpya wa fedha.Jaribu hivyo kuliko kukimbilia media.
 
Siyo kote bos kero ipo mbona, mkoa na wilaya nisha taja.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
TAMISEMI ilishatuma fedha za kujikimu kwa maDED kwa councils zote kulingana na idadi ya watu.
 
Mnashauri ujinga
 

Pole teacher!
Ila ulisherekea mno wakati unaona jina kwenye mkeka!!!
 
Soma vizur mkuu uko kote nmesha pita wengine hata ukiwapigia simu awapokei pia kweli sina gub wala ulalamishi sema kufikia nimeweka wazi nahitaji mnisaidie paza saut...mkuu kama ww n mwajiliwa kama mm kuna mahal wakikubana stahiki lazma upige kelele ata leo wabunge wakiminywa kidog posho zao nao upiga yowe


Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Mzee ki psychology nisha kufa tayar maana suluali mkanda nimetoboa tundu jipya🥹

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Kama ulishariport kwa Nini usingerudi nyumban hadi wakuwekee Hela ya kujikimu...huoni unajitesa Bure?wengine waliambiwa wakae mpk wawekewe Hela ya kujikimu...na huo utaratibu unaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…