DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mmmmh iyo nzuri.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Usiende inbox na mtu tafadhari kwa usalama wako.
Usiende na mtu Inbox tafadhari sana kwa usalama wako na hicho kibarua chako.
 
Habar watu wote.
Bila shaka mpo salama, kama ilivokuwa mwanzo leo naja kuleta mrejesho na kushukuru pia.

Shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Bila kusahau shukran za dhati na za upendo kwa @ TANZANITE, Rembwe kuna namna MUNGU amewatumia ili muweze kunivusha.

Sio kwamba wengine amna nafasi apana mnayo nafasi kubwa sana maana kila mtu alie comment aliongeza kitu na kunifanya nizidi kuwa imara.

Si haba tunaishi japo sio kilakitu kilienda sawa.

"KUNA WAKATI MUNGU SIYO LAZIMA ASHUSHE MALAIKA KWA AJILI YA KUKUSAIDIA JAMBO GUMU MUDA MWINGINE UWEZA ATA KUWATUMIA BINADAMU AMBAO TUNAHISI WANA ROHO MBAYA WAKAVISHWA UMALAIKA KWA AJILI YA KUKUSAIDIA".

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Your browser is not able to play this audio.
Your browser is not able to play this audio.


Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Wame walipa mkuu?
 
Na marafiki zako Halmashauri zingine wamelipwa?
 
Mungu ni mwema mkuu,
Walilikumbuka hilo.
Uyo ambae ajapaya salary mwambie amwage wino kuomba salar ya mwez ambao ajapat ili wakiingiza waingize miezi yote bila hvo awezi pata kirahisi

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Yes Kila kitu fresh now Cheque number alichelewa pata wameweka fresh watafidia mwez huuu na hizo kujikimu
 
Yes Kila kitu fresh now Cheque number alichelewa pata wameweka fresh watafidia mwez huuu na hizo kujikimu
Kama atapata na ya kujikimu kabsa atakuwa amevuta pesa ndefu,akumbuke kulipa madeni kama anayo pia abakize pesa ya dharula kwenye AC.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…