Ndio mana nkakuuliza ww n mgeni wa ajira Portal?I mean watu 11,000 ndio nafasi zote za kazi naona kama ni kundi kubwa sana kuwafanyia interview kumbuka wanaohitajika ni walimu 11,000
let say watakaoapply ni 22,000
je hawa watu wataweza kuwafanyia interview?
Mawazo ya usiku haya😁though lolote litokee watu wakakandwe tu kubabakeeee
Ht secondary, Haya mambo hayana ujanja, Mm mwnyw niliwahi kunyoosha mikono juu ila baada ya kuzoeana na mfumo nikaona kila kitu kipo sawahahahahahah itatoka kwa walimu wa AWALI na MSINGI nimekaa palee 😅😅😅😅😅😅
exciting time ahead ✨Ht secondary, Haya mambo hayana ujanja, Mm mwnyw niliwahi kunyoosha mikono juu ila baada ya kuzoeana na mfumo nikaona kila kitu kipo sawa
Being honest mimi ni mgeni na mfumo huoNdio mana nkakuuliza ww n mgeni wa ajira Portal?
Hao 11k n watu wachache sana mbele ya ajira Portal
Ila mwanangu sema ukweli tuu Mungu akusaidie mana unaonekana wazi tangu kitambo ww n mpinga Interview, Mungu akupe nguvu tuu kwa kweli mana ukija kuona mnatakiwa kufanya interview nahisi unaweza kujidhuru.Kuna mtu wa utumishi kaniambia hizi Ajira hazina usaili.
Nimemaliza
Lazima ukandwe mkuu 😂Bora iwe hivo
Tena hawa waalimu ndio wana balaa, mana watakuwa na Interview tatuKwahiyo watatumia njia gani kupata watu, jiandae na interview utumishi hawana longo longo, mtakandwa kwenye written wabaki wachache wakafanyiwe usaili kwenye kanda biashara uishe.
Bc karibu kwenye mikando 😂Being honest mimi ni mgeni na mfumo huo
Nashukuru kunijulisha kuwa kuna utaratibu wa interview
Mungu anisaidie walau nipate hiyo neema ya kuitwa kwenye interview
ILA KWA SASA ACHA NIANZE KUSOMA LABDA NITAPATA BAHATI HATA YA KUITWA TU KWA HIYO INTERVIEW
mi nawatakia best wishes tuTena hawa waalimu ndio wana balaa, mana watakuwa na Interview tatu
1: written 2: practical 3: oral 😂
Kama nawaona vile utumishi walivyojipanga kwa mauaji 😂 mana kuchinja watu zaidi ya laki mbili ili wapatikane watu 11,000 sio kazi nyepesi 😂
Palina asione hii mana atafurahi knoma 😂
Amen 🙏mi nawatakia best wishes tu
Asante nipo tayari kwa mapambano😁😁Bc karibu kwenye mikando 😂
Unadhani huko utumishi ndo hakuna ujanja wa connection? Watu wengi tu Huwa hawatoboi hata written na kiuhalisia wameandika vizuri mtihani na maswali yote mepesi kwaoWatu mnavyotisha wenzenu ni kama vile hizo interview zinaenda fanyiwa Gaza.
Walimu na watu wa afya walikuwa wanatamani kitambo huu mfumo hili kuwe na fair challenge sio mtu anamaliza Leo kesho tamisemi wanampanga kazi wa 2015 anaachwa Bora hii.
ukimuona mtu wa 2024 katoboa means kachana paper fresh aende tu kwenye kula keki ya nchi akutakuwa na zengwe.
Yote kwa yote watu wa afya na ualimu wanautaka sana huo usahili wanalalamika kitaa utumishi mnawachelewesha wameandaa pen kitambo Sana wino utaganda kipindi Cha baridi hiki fanyeni chap chap mlete hivyo viswali vyenu wavinyooshe.
Acha utani!Kuna mtu wa utumishi kaniambia hizi Ajira hazina usaili.
Nimemaliza
Na interview lini sasa?Kwa walimu na watu wa Afya.
Hakutakua na Interview.
Watu wa Afya kuanzia tarehe 1/8 -6/8 mtakua mnaanza kufikia Vituo vyenu vya kazi.
Hata hivo, Kipaumbele ni Kwa wale walikua wanajitolea.
Maana Kuna watu wamepania interview iwepoKwa walimu na watu wa Afya.
Hakutakua na Interview.
Watu wa Afya kuanzia tarehe 1/8 -6/8 mtakua mnaanza kufikia Vituo vyenu vya kazi.
Hata hivo, Kipaumbele ni Kwa wale walikua wanajitolea.
Unamaanisha nn?Madogo wengi bado wana ulimbukeni wa kusoma MD , wabishi mno, wanakuja kuuelewa DDS baadae sana
Hamna intavyuuNa interview lini sasa?