TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

I mean watu 11,000 ndio nafasi zote za kazi naona kama ni kundi kubwa sana kuwafanyia interview kumbuka wanaohitajika ni walimu 11,000

let say watakaoapply ni 22,000
je hawa watu wataweza kuwafanyia interview?

Mawazo ya usiku haya😁though lolote litokee watu wakakandwe tu kubabakeeee
Ndio mana nkakuuliza ww n mgeni wa ajira Portal?
Hao 11k n watu wachache sana mbele ya ajira Portal
 
hahahahahah itatoka kwa walimu wa AWALI na MSINGI nimekaa palee 😅😅😅😅😅😅
Ht secondary, Haya mambo hayana ujanja, Mm mwnyw niliwahi kunyoosha mikono juu ila baada ya kuzoeana na mfumo nikaona kila kitu kipo sawa
 
Ndio mana nkakuuliza ww n mgeni wa ajira Portal?
Hao 11k n watu wachache sana mbele ya ajira Portal
Being honest mimi ni mgeni na mfumo huo

Nashukuru kunijulisha kuwa kuna utaratibu wa interview

Mungu anisaidie walau nipate hiyo neema ya kuitwa kwenye interview

ILA KWA SASA ACHA NIANZE KUSOMA LABDA NITAPATA BAHATI HATA YA KUITWA TU KWA HIYO INTERVIEW
 
Kuna mtu wa utumishi kaniambia hizi Ajira hazina usaili.

Nimemaliza
Ila mwanangu sema ukweli tuu Mungu akusaidie mana unaonekana wazi tangu kitambo ww n mpinga Interview, Mungu akupe nguvu tuu kwa kweli mana ukija kuona mnatakiwa kufanya interview nahisi unaweza kujidhuru.

Nngekujua uso kwa uso nngeongea na ndugu zako wakae nawe kwa ukaribu zaidi mana lolote baya linaweza kukutokea endapo kutakuwa na usaili 😂

Na mimi namuomba Mungu sana, hizi ajira za afya na ualimu ziwe na Interview, vijana mkakandwe haswa, hakika nitafurahi sana kukiwa na usaili kwenye hizi ajira zenu.
 
Kwahiyo watatumia njia gani kupata watu, jiandae na interview utumishi hawana longo longo, mtakandwa kwenye written wabaki wachache wakafanyiwe usaili kwenye kanda biashara uishe.
Tena hawa waalimu ndio wana balaa, mana watakuwa na Interview tatu
1: written 2: practical 3: oral 😂

Kama nawaona vile utumishi walivyojipanga kwa mauaji 😂 mana kuchinja watu zaidi ya laki mbili ili wapatikane watu 11,000 sio kazi nyepesi 😂

Palina asione hii mana atafurahi knoma 😂
 
Being honest mimi ni mgeni na mfumo huo

Nashukuru kunijulisha kuwa kuna utaratibu wa interview

Mungu anisaidie walau nipate hiyo neema ya kuitwa kwenye interview

ILA KWA SASA ACHA NIANZE KUSOMA LABDA NITAPATA BAHATI HATA YA KUITWA TU KWA HIYO INTERVIEW
Bc karibu kwenye mikando 😂
 
Tena hawa waalimu ndio wana balaa, mana watakuwa na Interview tatu
1: written 2: practical 3: oral 😂

Kama nawaona vile utumishi walivyojipanga kwa mauaji 😂 mana kuchinja watu zaidi ya laki mbili ili wapatikane watu 11,000 sio kazi nyepesi 😂

Palina asione hii mana atafurahi knoma 😂
mi nawatakia best wishes tu
 
Watu mnavyotisha wenzenu ni kama vile hizo interview zinaenda fanyiwa Gaza.
Walimu na watu wa afya walikuwa wanatamani kitambo huu mfumo hili kuwe na fair challenge sio mtu anamaliza Leo kesho tamisemi wanampanga kazi wa 2015 anaachwa Bora hii.
ukimuona mtu wa 2024 katoboa means kachana paper fresh aende tu kwenye kula keki ya nchi akutakuwa na zengwe.
Yote kwa yote watu wa afya na ualimu wanautaka sana huo usahili wanalalamika kitaa utumishi mnawachelewesha wameandaa pen kitambo Sana wino utaganda kipindi Cha baridi hiki fanyeni chap chap mlete hivyo viswali vyenu wavinyooshe.
 
Unadhani huko utumishi ndo hakuna ujanja wa connection? Watu wengi tu Huwa hawatoboi hata written na kiuhalisia wameandika vizuri mtihani na maswali yote mepesi kwao
 
Hapa inaonekana wengi wanaoshabikia interview ni watu wasio wa kozi za afya na ualimu ambao ni wahanga wakubwa wa interview tangu enzi kwahiyo wanaongea kiushabiki tu Cha msingi tusubiri ushangae tarehe 20 mwez wa nane wenzio watakapopangiwa vituo bila interview....Dua la kuku wazee
 
Kwa walimu na watu wa Afya.

Hakutakua na Interview.

Watu wa Afya kuanzia tarehe 1/8 -6/8 mtakua mnaanza kufikia Vituo vyenu vya kazi.

Hata hivo, Kipaumbele ni Kwa wale walikua wanajitolea.
 
Back
Top Bottom