TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Umri bado mdogo hata kama ushamaliza chuo muda mrefu, hauwezi kufanana na mwenye umri mkubwa katika kipindi cha Utumishi wa Umma.

Huyo mwenye umri mkubwa atawahi kustaafu kabla yako, hivyo anatakaiwa kuingia kwenye Utumishi wa Umma kabla ya wewe.

Kitu pekee kitakachokuokoa ni kufaulu Oral kwa Alama za Juu. Wapo waliopita kwa namna hii wengi tu
Hivi oral interview szinafanyika kwa lugha gani?
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜

๐Ÿ˜๐Ÿ˜ simiyu Kuna Nini aisee
Oya simiyu ndio mkoa wenye waganga wa kienyeji wengi tanzania

Mkuu wa mkoa kenani kihongosi siku alifanya mkutano na waganga wa jadi

Guess what alijaza ukumbi na wengine wakakaa nje

Simiyu sio poaaa
 
Kwahy hizo rushwa zitaanza kwenu waalimu na watu wa afya ila wengine hapakuwa na rushwa?
Zilikuwepo ila kupata ulikuwa bila jasho la kufanya interview kwahiyo hapa watu wa connection ndo wataongeza umakini zaid
 

Attachments

  • Screenshot_20240805-153733.jpg
    Screenshot_20240805-153733.jpg
    384.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20240805-153805.jpg
    Screenshot_20240805-153805.jpg
    317 KB · Views: 12
Back
Top Bottom