TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hapo akuna usahili Kuna connection za usahili.
Sasa maafisa tarafa, wakuu wa mikoa,wilaya,wazee wa chama Cha mboga mboga, maafisa elimu kata hadi mikoa wameletewa kichaka Cha kupiga pesa kiukweli wasipo nunua ma v8 kumi kumi utawala huu wa chura kiziwi ndio basi tena mungu awape Nini tena wasaidizi wa awamu ya 6 kuleni Sasa kamba mlizofungwa ndefu sana
 
Acha uongo wako
Watu mmekalia ubishi tu, trh 19 mwezi wa 7 bunge wametoa ajira za kada mbalimbali afya walihitaji wafamasia na kada zingine kama madereva wameita watu usahili trh 24, kama muhusika pitia account yako sio kila kitu utafuniwe tu.
 
Acha uongo wako
1000137211.jpg
 
Wakuu, kama nitakuwa sahihi bc nadhani sasa hv ajira zimetoka sana labla kutokana na uchaguzi, sasa wakuu ikifika 2025 miezi ya katikati hapo kama bado tutakuwa hatuna salary slip aisee turudi nyumban Kwa wazazi wetu wakatushike kichwa 😎
 
Back
Top Bottom