TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

mpaka gwajima awakumbushe.aibu yao hiyoo

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
Mkuu gwajima ni mtu moja lazima atoe tamko kwa haraka, kama ni TEC lazima wakae wote au Rais wao atoe tamko kwa niaba. Labda ungelaumu askofu moja moja. Halafu Gwajima katoa tamko jana na hawa nao wametoa tamko hiyo jana hebu soma vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Pengo alikuwepo? Na mkiambiwa yuko nyuma yake mteule wenu kipenzi chenu muumini wenu mtakatifu JPM mtasemaje?

Pengo anaingiaje hapo?, Pengo sio mkuu wa Ukatoliki Tanzania, yeye Ni askofu wa Dar es Salaam tu, hana mamlaka ya kiuongozi kwenye Jimbo lolote la Kikatoliki lililo nje ya Dar

Naunga mkono kuwa Hii note imechelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…