TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

Hivi Beatus Kinyaiya ndio yule wa Ben Kinyaiya aliyekuwa anatangaza na Maimartha Jese
 
Watanzania mnapenda sana matamko. Badala ya kuwasaidia Police kuwapata watuhumiwa mnasisitiza TEC watoe tamko.
Police bongo ni rubbish, rotten, garbage, rubber stamp ya Ccm!!! hawa walioshauriwa wadeal na wanasiasa? RPC Dodoma hata hajui dereva wa Lissu anaitwa nani halafu anamtafuta [emoji51][emoji51] bure kabisa... Wapi ripoti za Ben, Roma, Nape kutishiwa bastola, clouds kuvamiwa? Hopeless police force! wanawafanyia kazi Ccm!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa wachangiaji wanaolaumu TEC kwa waraka huu au kuchelewa kwa waraka huu... Ikumbukwe kuwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamesambaa nchi nzima ktk majimbo yasiyopungua 33. Na ili kutoa tamko lolote ni lazima Maaskofu wote waridhie, si kama huyo Gwajima wenu anayesimama peke yake nchi nzima na baraza lake la Maaskofu huku akiwa "Askofu" Pekee wa kanisa lake alilolianzisha mwenyewe. Ni wiki jana Maaskofu walikuwa na plenary wiki nzima pale Kurasini, na kama ilivyo adda wamemaliza kikao chao cha kawaida kwa kutoa waraka juu ya hali ya usalama nchini.

So mnaolaumu mnahitaji kuuelewa utaratibu wa Kanisa Katoliki na namna yake ya kutenda. Well km hamjui ni kuwa KANISA KATOLIKI ndiyo taasisi pekee ya kiuongozi iliyosimama muda mrefu kuliko zote Duniani, be it nchi/ Serikali au mamlaka nyingine!!!
 
Hivi huwa inawezekana kumbariki mtu na kisha ukamlaani? (Nimeuliza tu nje ya boksi)
 
Asante gwajima naona misa yako ya jana imewatoa hawa watu mafichoni

Naona kanisa limekua sio kimbilio la wanaoonewa tena limeshikwa na ganzi ya uoga na kusoma upepo

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Pengo anaingiaje hapo?, Pengo sio mkuu wa Ukatoliki Tanzania, yeye Ni askofu wa Dar es Salaam tu, hana mamlaka ya kiuongozi kwenye Jimbo lolote la Kikatoliki lililo nje ya Dar

Naunga mkono kuwa Hii note imechelewa sana
Naomba nikusahihishe katika hili. Pengo ni Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania. Nadhani you're missing a point somewhere katika kuelewa uongozi wa kanisa katika nchi husika. All in all TEC imefanya vema kukemea uovu huu
 
Weka fact zako vizuri, Pengo sio Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania, kila jimbo lina Askofu wake, Japokuwa Pengo ni Kardinali lakini Kikanisa yeye ni Askofu na kwa Tanzania yeye ni Askofu wa jimbo la Dar es Salaam,
Na Maaskofu wote wanakuwa na Baraza lao la Maaskofu, na huyo aliyesaini hiyo Barua Beatus Kinyaiya ni Makamu wa Rais wa Baraza hilo la Maaskofu na ni Askofu wa Jimbo la Dodoma, Pengo hawezi kumwingilia Kinyaiya katika mambo yoyote ya Kikanisa au Kiuongozi katika Jimbo la Dodoma
 
DaaaaDaaaah, anyway ngoja tusibishane
Weka fact zako vizuri, Pengo sio Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania, kila jimbo lina Askofu wake, Japokuwa Pengo ni Kardinali lakini Kikanisa yeye ni Askofu na kwa Tanzania yeye ni Askofu wa jimbo la Dar es Salaam,
Na Maaskofu wote wanakuwa na Baraza lao la Maaskofu, na huyo aliyesaini hiyo Barua Beatus Kinyaiya ni Makamu wa Rais wa Baraza hilo la Maaskofu na ni Askofu wa Jimbo la Dodoma, Pengo hawezi kumwingilia Kinyaiya katika mambo yoyote ya Kikanisa au Kiuongozi katika Jimbo la Dodoma
 
Police bongo ni rubbish, rotten, garbage, rubber stamp ya Ccm!!! hawa walioshauriwa wadeal na wanasiasa? RPC Dodoma hata hajui dereva wa Lissu anaitwa nani halafu anamtafuta [emoji51][emoji51] bure kabisa... Wapi ripoti za Ben, Roma, Nape kutishiwa bastola, clouds kuvamiwa? Hopeless police force! wanawafanyia kazi Ccm!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Police hawatoi report za uchunguzi wao kwa public. Wakikamilisha upelelezi na watuhumiwa kupatikana Ni suala la kufungua kesi mahakamani.
 
Back
Top Bottom