Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kila jumapili mpo naye mnampaka mafuta na kumnywesha divai.jitu roho mbaya.
Muelewe,pengo si ndio mwenyeji wa suspect kila j2 anakuja palePengo anaingiaje hapo?, Pengo sio mkuu wa Ukatoliki Tanzania, yeye Ni askofu wa Dar es Salaam tu, hana mamlaka ya kiuongozi kwenye Jimbo lolote la Kikatoliki lililo nje ya Dar
Naunga mkono kuwa Hii note imechelewa sana
ndogo vmpaka gwajima awakumbushe.aibu yao hiyoo
bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
Gwajima ni FIRST TO REPLY..MZEE WA KIKI, Katoliki hawafuati mikumbo na kiki za kijinga!mpaka gwajima awakumbushe.aibu yao hiyoo
bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
Tigo yako haina mashiko au unamaanisha niniToo late na haina mashiko
Wanakuangusha kwa kipi ?Maaskofu mutatuangusha sisi wakatoriki, acheni mahaba yenu kwa baba jesca la sivyo mnatuharibia kanisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo yako haina mashiko au unamaanisha nini
Acheni kutetea ujingaMkuu gwajima ni mtu moja lazima atoe tamko kwa haraka, kama ni TEC lazima wakae wote au Rais wao atoe tamko kwa niaba. Labda ungelaumu askofu moja moja. Halafu Gwajima katoa tamko jana na hawa nao wametoa tamko hiyo jana hebu soma vzr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanauliza imekuwaje Kipindi cha Mkwere nilikuwa mnakaa Vikao vingi Kutoa nyaraka imekuwaje kwenye utawala huu!Utumie hata akili yako ndogo vizuri. Kanisa katoriki ni taasisi inafanya mambo yao kwa vikao na utaratibu maalum. Ndio maana hiyo ni official statement ya kikao. Gwajima lile kanisa ni kama personal property, akiamua jumapili hii tunamchamba bashite sawa, hii tunaichamba clouds ni sawa. Au kuna muongozo wa siku za kutoa tamko?
ndogo v