McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
TEC wamenyooka kama rula.
Jamaa hawana longo longo
TEC wamenyooka kama rula.
hapa hawatoe maelekezo kwa dola, bali wanaiomba dola! Na licha ya hali ile walisubiri mkutano wao wa kawaida!
THE BIG SHOW na Wadini wenzake watasema kipindi hicho Rais wa nchi alikuwa ni Muislam, na ndiyo maana TEC walitoa tamko la kukemea haya matukio! Angekuwa Rais ni Mkatoliki mwenzao, hata wasingekemea! Na badala yake wangekuwa wanatoa matamko ya kusifia tu utaeala ulioko madarakani!
Utasubiri hadi miguu itaota mizizi, hao tamko pekee wanaloweza kutoa ni mwezi kuandamaangalau wametoa tamko. tunasubiri bakwata.
Tuoneshe basi na tamko la Bakwata lenye page nyingi la kukemea hivyo vitendo kama walivyofanya TEC kwenye tamko lao lenye page moja! By the way kinachotakiwa hapa ni ujumbe, au ni idadi ya pages!!hapa hawatoe maelekezo kwa dola, bali wanaiomba dola! Na licha ya hali ile walisubiri mkutano wao wa kawaida!
One page tamko! VS haya ya sasa ni pages za kutosha! wakati ule yalitia fedheha taifa, ya sasa wanadai taifa limepoteza heshima! whats the difference between the two?
Maelezo kama haya Lucha akiyaona utashangaa anaenda kujificha uvunguni kwa aibu. Masheikh wake wa Bakwata wanajua kupiga tu sahani za ubwabwa.Kwa maoni yangu mi naona maaskofu wamesaidia sana kupaza sauti za watz ambao walikuwa hawana pa kusemea" mimi sio mkristo lakini nawapongeza maaskof kwa kusema ukweli na kuonya juu ya yanayoondelea ambayo wengi bila kujali dini kabila wala itikadi yalikuwa haytupendezi,
Bila kujali Wale bakwata waliojifungia kule kwenye ukumbi wa msekwa dodoma watasema nn" kwani tumeshawazoea hawawezi kusema isivotaka gvnt .
Tumeona mashehe wa uamsho wakiteseka na kesi zisizoisha kwa miaka bila kupewa dhamana! Huku familie zao zikitaabika bila msaada wowote kutoka bakwata.
Na japo ni muislam lakini sidhani kama bakwata huwa wapo kutetea maslai ya waislam na wote wanaoonewa ktk nchi hii.
Maaskof mmeonyesha njia sahihi ya kufuatwa na taasisi za dini, mwenyez mungu awalinde na hila zote zitazopangwa na adui shetani"
Onyesha tamko la BAKWATA la ukurasa mmoja na linaloiomba dola kurekebisha utawala mbovu na ukandamizaji.hapa hawatoe maelekezo kwa dola, bali wanaiomba dola! Na licha ya hali ile walisubiri mkutano wao wa kawaida!
One page tamko! VS haya ya sasa ni pages za kutosha! wakati ule yalitia fedheha taifa, ya sasa wanadai taifa limepoteza heshima! whats the difference between the two?
Bakwata/masheikh si hoja wala mjadala kama utaelewa. Mjadala hapa ni tabia/mwenendo wa TEC. Kama unataka mjadala kuhusu bakwata kunako hilo anzisha uzi, na mwenendo wao upo clear.Tuoneshe basi na tamko la Bakwata lenye page nyingi la kukemea hivyo vitendo kama walivyofanya TEC kwenye tamko lao lenye page moja! By the way kinachotakiwa hapa ni ujumbe, au ni idadi ya pages!!