Nashangaa radar vs walaka...mmmh shule muhmuRais magufuli amezungumza hayo wakati akizindua radar katika uwanja wa ndege wa JK nyerere leo hii,pia amesema kuwa uchumi wa nchi yetu imekua kwa asilimia saba.
Kwa maoni yangu mi naona maaskofu wamesaidia sana kupaza sauti za watz ambao walikuwa hawana pa kusemea" mimi sio mkristo lakini nawapongeza maaskof kwa kusema ukweli na kuonya juu ya yanayoondelea ambayo wengi bila kujali dini kabila wala itikadi yalikuwa haytupendezi,Hao Maaskofu wako wangapi??? Maaskofu wenye mtizamo tofauti wako wangapi? Wauumini wanaounga mkono huowaraka wako wangapi? Wasiounga mkono huo waraka wako wangapi? Maaskofu wamekosea mno kutoa ule waraka..wameleta mgawanyiko miongoni mwao na miongoni mwa waumini na ndani ya jamii
Lini wahuni waliuawa waraka ukatolewa? Wabillah towfiq!Rais magufuli amezungumza hayo wakati akizindua radar katika uwanja wa ndege wa JK nyerere leo hii,pia amesema kuwa uchumi wa nchi yetu imekua kwa asilimia saba.
Naamini harassment za chini chini ziliwaandama.
asee
😀😀😀angalau wametoa tamko. tunasubiri bakwata.
Anatokea shehe ubwabwa anakuambia wakati wa magufuli TEC walikuwa kimya sababu Rais alikuwa mkristo