Si kweliAnayepoteza credibility ni hao watoa waraka.
Rais magufuli amezungumza hayo wakati akizindua radar katika uwanja wa ndege wa JK nyerere leo hii,pia amesema kuwa uchumi wa nchi yetu imekua kwa asilimia saba.
Hao hao ndio watakaomzamisha kwenye maji.Hawezi shindana viongozi wa dini kwani leo walinzi walikuwa wengi kuliko rai wa kawaida na hisi huyu halali pale kivukoni kwani hajiamini kabisa
Jiwe ni hopelessTeh jiwe bana huwa linanichekesha sana kuna sehemu kasema kwanini serikali haikununua hizi ndege miaka 100 iliyopita na Tanzania ilikuwepo
Miaka 100 iliyopita Tanzania ipi ilikuwepo ?
Hapo kwenye waraka wa Maaskofu jiwe kasema hazikilizi yoyote na hayamfanyi chochote huo waraka
Anasema Watanzania bila kujali dini ,kabila wala chama tuwe pamoja wakati huo viongozi wa upinzani wako ndani na wamenyimwa dhamana order ikitoka kwake.
Kumuelewa huyu jamaa inabidi uwe mwendawazimu
Jiwe oyeeeeeMipashooooo hoyeeeee
kuhusu kibiti ilipigwa marufuku kuongelea, na watu walikua wanaongea sana kabla haijapigwa marufuku. Yan bila ile marufuku zingetolewa nyaraka sio waraka
Hio 100 ni zuga ila alikuwa anazungumzia awamu zilizopita sasa kuficha kuwapiga dongo watangulizi wake kaamua kuchapia hivyoTeh jiwe bana huwa linanichekesha sana kuna sehemu kasema kwanini serikali haikununua hizi ndege miaka 100 iliyopita na Tanzania ilikuwepo
Miaka 100 iliyopita Tanzania ipi ilikuwepo ?
Hapo kwenye waraka wa Maaskofu jiwe kasema hazikilizi yoyote na hayamfanyi chochote huo waraka
Anasema Watanzania bila kujali dini ,kabila wala chama tuwe pamoja wakati huo viongozi wa upinzani wako ndani na wamenyimwa dhamana order ikitoka kwake.
Kumuelewa huyu jamaa inabidi uwe mwendawazimu
And reverse is true,tena upande wenu ndio mtanyooka kama moja.Mtanyooka tu mwaka huu nzi Wa kijani nyie
Mnakumbuka lakini ilipigwa marufuku kujadili suala la Kibiti? Hata Bungeni hoja ya dharura iliyotolewa, Kiongozi wa Bunge siku hiyo aliikataa!Kitu kimoja namkubali JPM, anakuchana tu, ili mradi anasema ukweli.
Kwa kumbukumbu zangu sikusikia waraka wowote wala kulaani kokote kutoka KKKT.
Tangu lini magufuli akawa mkristo safi.Kile alichokisema Mheshimiwa Rais wetu jana kwenye ibada ya misa ya pasaka nadhani kilikuwa kinatosha kuwa jibu kwa nyaraka hizi za maaskofu. Maana alimtuma paroko amfikishie salamu zake kwa maaskofu juu ya kuhubiri amani na maendeleo.
Sasa hiki cha leo kinaonyesha alichosema jana hakuwa amedhamiria ila kutimiza wajibu tu kwa kuwa alikuwa ndani ya jengo la kanisa sasa inabidi apretend kama mkristo safi sasa ametoka yupo nje ya kanisa anasema sasa yaliyoujaza moyo wake. Huu sio ukristo
Bwana amjalie hekima Rais wetu
He is a living case of a mentally retarded stone.Teh jiwe bana huwa linanichekesha sana kuna sehemu kasema kwanini serikali haikununua hizi ndege miaka 100 iliyopita na Tanzania ilikuwepo
Miaka 100 iliyopita Tanzania ipi ilikuwepo ?
Hapo kwenye waraka wa Maaskofu jiwe kasema hazikilizi yoyote na hayamfanyi chochote huo waraka
Anasema Watanzania bila kujali dini ,kabila wala chama tuwe pamoja wakati huo viongozi wa upinzani wako ndani na wamenyimwa dhamana order ikitoka kwake.
Kumuelewa huyu jamaa inabidi uwe mwendawazimu
Hahaha ndio ukweli wenyeweAnd reverse is true,tena upande wenu ndio mtanyooka kama moja.