TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

Kitu kimoja namkubali JPM, anakuchana tu, ili mradi anasema ukweli.
Kwa kumbukumbu zangu sikusikia waraka wowote wala kulaani kokote kutoka KKKT.
Leo unafurahi kawachana, baada ya siku mbili akisema viongozi wa dini mniombee na pale wanapomtaka atubu usisahau kufurahia pia.
 
KKKT kumejaa migogoro lukuki kwenye Kanisa lao, lakini wanashughulika na nyaraka. Hakuna Kanisa limesheheni migogoro tena ya Kimaslai km KKKT
 
KKKT ni wanafiki sana ni hii itapelekea kulisambaratisha kanisa hili hawa maaskofu wanafanya siasa as if Waumini wote Wa KKKT ni CHADEMA. " Askofu shoo nakwambia Lowasa will never being a president hata ufanye siasa makanisani"
 
Kitu kimoja namkubali JPM, anakuchana tu, ili mradi anasema ukweli.
Kwa kumbukumbu zangu sikusikia waraka wowote wala kulaani kokote kutoka KKKT.
Hahahaha
Kawadunda la uso walahi
 
KKKT ni wanafiki sana ni hii itapelekea kulisambaratisha kanisa hili hawa maaskofu wanafanya siasa as if Waumini wote Wa KKKT ni CHADEMA. " Askofu shoo nakwambia Lowasa will never being a president hata ufanye siasa makanisani"
True
Yaani ni maslahi yake tu huyu jamaa ni aibu sana kwa kanisa walahi
 
KKKT kumejaa migogoro lukuki kwenye Kanisa lao, lakini wanashughulika na nyaraka. Hakuna Kanisa limesheheni migogoro tena ya Kimaslai km KKKT
True kila mtu bosi!
 
Hao Maaskofu wako wangapi??? Maaskofu wenye mtizamo tofauti wako wangapi? Wauumini wanaounga mkono huowaraka wako wangapi? Wasiounga mkono huo waraka wako wangapi? Maaskofu wamekosea mno kutoa ule waraka..wameleta mgawanyiko miongoni mwao na miongoni mwa waumini na ndani ya jamii
Unafikiri maaskofu wanawaza kilumumba Kama wewe? Eti wamekosea kutoa waraka rubbish!! Unawapangia cha kufanya na kuwaza wewe nani? Pia kama wewe ni muumini wa kweli usingeleta huu upupu hapa...
 
Kutoka moyoni John hafai kuwa kiongozi zaidi ya hapo nadhani alitakiwa awe PM Ila sio Igwee! Madhara ya kukurupuka sasa tumelamba garasa
 
Back
Top Bottom