Allen Theonest
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 400
- 491
Ni kesi gani iko mahakamani inayohusu mmojawapo wa hao niliowataja..Police hawatoi report za uchunguzi wao kwa public. Wakikamilisha upelelezi na watuhumiwa kupatikana Ni suala la kufungua kesi mahakamani.
Sent using Jamii Forums mobile app