Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
mkuu hawa wana CC "masalia" unawafanyaje? wapigwe marufuku kuingia cc kwa mwezi bila appeal. wakiongozwa na Nivea na UNDENIABLE maana naona ndo wameshupaliaaaaa

Japo waswahili wanasema mtoto akinyea mkono haukatwi lakini kwa sasa nahisi nitaanza kukata ili heshima ichukue mkondo wake..
 
Last edited by a moderator:
Japo waswahili wanasema mtoto akinyea mkono haukatwi lakini kwa sasa nahisi nitaanza kukata ili heshima ichukue mkondo wake..

Heshima lazma iwepo, manoah alijaribu kukuchezea sharubu, sasa naona na Nivea naye, hasa ukichukulia hali halisi upepo jana hapa haukuwa mzuri kabisa, kifupi bahari ilichafuka sana ..sasa hao masalia lazima uanachama wao usitishwe kwanza, ikibidi wapigwe "fatwa" kabisa....wasichezee sharubu za Mkiti mtukuka

habari hii imfikie Mzee

kwa majonzi nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
^^
Baba V
Acha kuficha kichwa kwenye mchanga wakati kiwiliwili kiko nje,,
Ungefanya vema kama thread hii ungejibu hoja za Nivea na gfsonwin na sio kutoa vitisho na kujificha nyuma ya cheo.
Naam migogoro ipo,,how far umefanya kuitatua na kama uko kimya Why uko kimya,,huo ndio uongozi.
Lakini unapokuja na vitisho,makaripio bila hoja haisaidii bali una ahirisha tatizo.
I trust in your wisdom ni wakati wako kuweka mambo sawa
cc Mzee Nivea Ruttashobolwa Mrembo by Nature UNDENIABLE
ALUTA CONTINUA
^^
 
Last edited by a moderator:
too late ex-chair!
 
Hana hoja kabisaaaaaaa, mm mke wangu katekwa yupo kimya! file la ndoa yako limepelekwa ofisini kwake yupo kimya! wajumbe wakatangaza kuanzisha red brigade ya CC kwa ajili ya kujilinda, yupo kimya! sasa huyu ni mwenyekiti wa aina gani!
 
Niwekee bayana hizo hoja nizione..
 
Keep on spinning....
 
Jibu kwanza hizo chache hapo juu!
Baba V unapenda watoto wa watu waendelee kuzini, kwann umekataa hadi sasa hv kuruhusu file lao???

au ni mwenyekiti mwenye personal interest?!

pumzika kwanza benchi!
 
Last edited by a moderator:

mkuu Himidini umeongea vizuri ila hapo red mbona bado mmeng'anga'nia silaha? wekeni silaha chini kwanza (au sijui maana ya hiyo slogani? ) khaaa
 
Last edited by a moderator:
We mwana we ... halahala ...
na majukumu tumeshagawana kabisaa hatutaki kiongozi legelege unayecheka cheka huna maamuzi ,dhaifu unashindwa kutoa tamko hali kama ya jana iliyosababisha watu kuumia mioyo??unanitisha nimejipanga kama unataka na wewe tuikugadaffi sema tu
 
sasa hv yupo hoi sana baada ya kuona kwamba watu walikuwa serious na mapinduzi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…