Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Ni hatari wanataka kuipoteza inabidi tuungane kuitetea JFMashambulizi mashinikizo ni makali
Ni hatari wanataka kuipoteza inabidi tuungane kuitetea JFMashambulizi mashinikizo ni makali
Na hawaoni hata haya wale madogo wa Lumumba street walaaniwe sanaPamoja na hayo, traffic kutoka members wanao onekana kutokea state house ni kubwa humu. Wote mwendo mmoja VPN kudadeki
Muulize mama yako she is the custodianUle mshiko wa Ford Foundation umeshamaliza?
Kupunguza content zenye kuashiria kuipinga serikali na ikibidi wapige ban wanaharakatiNihabarishe ticktock walipewa masharti gani
If that is the case, haitafunguliwa mileleKupunguza content zenye kuashiria kuipinga serikali na ikibidi wapige ban wanaharakati