Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,846
- 6,838
Maxence Melo chochea kuni, Watanzania tuna haki ya kushiriki mijadala
Tukianza kulia kwa yanayoendelea, tutanyamaza leo?JF mmefungiwa ila ndio kwanza mnamwaga tu mabarafu.
😀😀😀😀
Kuna watu wanatukana na kujibu hovyo humu hata hakufai kuja huku kila sikuSio point hii
Mamlaka wanamambo yao tu hawataki ukweli.
Utampata vipi mtu anatumia ID fake ili umpeleke Mahakamani?Matusi kama ni kosa mahakama zipo babu.Sio kila mtu anatumia ID fake humu.Kwahiyo unataka hii forum ifanye nini kwa wanaotukana?anayetukana ni subscriber na sio platform jamaa yangu(ukifungia platform kwa madai yako ni upumbavu tu na ushamba)
Servers zimejaa ushuzi tuJF ina taarifa muhimu za usitawi wa Taifa hili kwa miaka zaidi ya 20 sasa. Ni mtandao wenye rekodi ya utawala wote wa JK, utawala wote wa Magufuli, na utawala wote wa Samia hadi sasa katika nyanja nyingi za kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Ni mwendawazimu pekee anayeweza kujaribu kuiua JF, maana yake anapoteza hazina yote ya maarifa ambayo taifa hili limeyakusanya kupitia mtandao huu kwa miaka yote hiyo. Leo huwezi kugoogle chochote kujusu Tanzania then usikute taarifa kutoka JF zikiwa top katika search.
Kama serikali ikizingua, basi wamiliki wa JF watafute buyer kutoka Kenya wamuuzie mtandao huu na information zake zote then tuje tuone ni Kenya au TZ itakayonufaika na vast information iliyomo ktk servers za JF.
Huu uonevu utaisha liniTAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya wananchi kupata taarifa na kutoa maoni, tulitii agizo hilo hadi huduma ziliporejeshwa Desemba 06, 2025.
Tangu kurejeshwa, tumepokea taarifa kutoka kwa watumiaji wetu wa Tanzania kuwa kuanzia Desemba 7, 2025 hawawezi kufikia jukwaa bila kutumia mbinu au nyenzo za ziada.
Tunapenda kuufahamisha umma kuwa hatuhusiki na hali hii, na tunalaani vikali kitendo cha kuzuia upatikanaji wa jukwaa bila taarifa rasmi kwa umma, kwani ni kinyume na ukiukwaji mkubwa wa haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa.
Tunatoa wito kwa yeyote au mamlaka yoyote inayohusika kuondoa mara moja vizuizi hivi na kuruhusu wananchi kupata huduma bila vikwazo.
Tutaendelea kusimamia haki za kidijitali na uhuru wa watu kujumuika mtandaoni, kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, na kuhimiza uwajibikaji katika jamii.
Desemba 12, 2025
View attachment 3514831
Wanajitoa ufahamu.Nchi hii wameonyesha ukatili wao wa wazi kabisa unafungia chombo kisipate mapato yake bila sababu za msingi na unaona sawa tu aisee..
Na unalogin kwa VPN ili kupata ushuzi sio?Servers zimejaa ushuzi tu
Na ndio lengo lao, hapa wanagonga Cheers kwa kutimiza lengoHaya mambo ndiyo yanayodumaza ukuaji wa mawasiliano na habari, maana fikra tunduizi zinakuwa zimezimwa. Huu ni wendawazimu na ujuha kuzuia maendeleo katika mawasiliano na habari, ni kudumaza fikra za watu
Keshakuwa fala tena huyo mwalimu?Watazingua na huku hawa TCRA kwanini umetoa boko wewe hujui hao makenge namaanisha TCRA wanachofikiria wao ni kufungafunga tu?
Sio TCRA bali ni CCM ndio wanafanya uhuni wote huo mkuu.Hao TCRA kama vipi waifunguie JF tujue moja kuliko namna hii wanavyofanya mambo ya kihuni
Hivi na nyinyi uongozi wa jamii forums hamuwezi kuzipiga marufuku mada zote zinazoletwa na hawa CHAWA waliotapakaa humu jukwaani, za kuisifia hii serikali yao kandamizi na viongozi wake wakatili na wasiojali haki za msingi za raia?TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya wananchi kupata taarifa na kutoa maoni, tulitii agizo hilo hadi huduma ziliporejeshwa Desemba 06, 2025.
Tangu kurejeshwa, tumepokea taarifa kutoka kwa watumiaji wetu wa Tanzania kuwa kuanzia Desemba 7, 2025 hawawezi kufikia jukwaa bila kutumia mbinu au nyenzo za ziada.
Tunapenda kuufahamisha umma kuwa hatuhusiki na hali hii, na tunalaani vikali kitendo cha kuzuia upatikanaji wa jukwaa bila taarifa rasmi kwa umma, kwani ni kinyume na ukiukwaji mkubwa wa haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa.
Tunatoa wito kwa yeyote au mamlaka yoyote inayohusika kuondoa mara moja vizuizi hivi na kuruhusu wananchi kupata huduma bila vikwazo.
Tutaendelea kusimamia haki za kidijitali na uhuru wa watu kujumuika mtandaoni, kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, na kuhimiza uwajibikaji katika jamii.
Desemba 12, 2025
View attachment 3514831
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha 2% inafanya watu account zao wafunge sehemu kutoa commentWalioshinda kwa asilimia 98 hawataki kukosolewa na asilimia mbili zilizobaki.
Ni mambo ya kufikirisha sanaHa ha ha ha ha ha ha ha ha 2% inafanya watu account zao wafunge sehemu kutoa comment
MaCCM kuendelea kushikilia mtandao wa JF hadi sasa ni kinyume cha sheria, ni usenge mkubwa sana. Hii nchi ina mitawala ya ovyo na yenye akili za kiquma sana.TAARIFA KWA UMMA