MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Nchi ngumu sana hii.
Sio point hiiMsiangalie upande mmoja tu
Ukweli ni kwamba kuna watu wanatukana sana humu hadi kupitiliza kisa tu unatumia fake ID
Siitetei serikali ila na nyinyi pia kuna umhimu wa kubadilika mnatukana sana bila mipaka wala staha
Siku zote Mimi ni Mshindi wa Vita hapa.Yaishe Leo umeshinda
Hii sio mara ya kwanza kwa JF kuweka hizo barafu katika kipindi hiki cha sikukuu ya Christmass,watu walisha lalamika ila ndio hivyo tena,kiukweli inakera hivyo vidude ila tuvumilie tu kwa muda huu.Hayaaa mabarafuuu ya nini yatoweni bhanaa
Vinatoka lini sasaHii sio mara ya kwanza kwa JF kuweka hizo barafu katika kipindi hiki cha sikukuu ya Christmass,watu walisha lalamika ila ndio hivyo tena,kiukweli inakera hivyo vidude ila tuvumilie tu kwa muda huu.
Hiyo ndio mpaka mwaka mpya mkuu.Vinatoka lini sasa
Sawa sawa mkuuHiyo ndio mpaka mwaka mpya mkuu.
Mimi ndiyo maana nikifa nitaenda kuuliza kwanini watu weusi waliumbwa hapa duniani. Maana ni race ya kifala sijapata kuonaMsikate tamaa, msivunjwe moyo uongozi na wafanyakazi wote wa JF.
Yatapita haya, Yana mwisho.
Nawafikiria wadogo zangu walioajiriwa na JF.
Revenue ikishuka na wao Wanaathirika.
Hakuna matangazo ya ndani (local) ya kulipia bills.
Uongozi ukiomba msaada wa wahisani watapewa kesi ya uhujumu uchumi, kutakatisha pesa.
Au uhaini wanatumiwa na wahisani toka nje.
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja.Halafu takataka kama Lucas Mwashambwa inaachwa kila siku inajaza maujinga yake humu kuwasifia watu walioifungia JF.
Ungekuwa na akili timamu ungekubali kutumika kinyume cha maumbile wewe kocho?Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja.