Na kwa kweli kila mtu anashangaa
Serikali hii is completely in a denying dude. Inaogopa hata kivuli chake chenyewe
Adhabu imekwisha lakini kinyemela tu bado imeshikilia kamba ya adhabu ambayo nayo ilikuwa fake na ya uonevu tu
Serikali hii ya wapuuzi hawa hawatafika popote kabla kabla hawajaanguka anguko ambalo dunia itashangaa
Walijidanya sana kwa kudhani kuwa kwa kujilazimisha kuitawala nchi kwa gharama ya damu za watu, kwa ulaghai na kwa uchaguzi wa danganya toto na wa uongo mtupu, kwamba Mungu atawaridhia..
Hapana..! Mungu Yehova amekasirika sana na bahati mbaya sana kuwa hawataki kukiri makosa yao. Na kwa sbb hii, kila aliyehusika na udanganyifu huu mmoja mmoja ataionja ghadhabu ya HUKUMU ya Mungu kwa wakati wake na kwa namna yake!