Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

Msiangalie upande mmoja tu

Ukweli ni kwamba kuna watu wanatukana sana humu hadi kupitiliza kisa tu unatumia fake ID

Siitetei serikali ila na nyinyi pia kuna umhimu wa kubadilika mnatukana sana bila mipaka wala staha
Matusi kama ni kosa mahakama zipo babu.Sio kila mtu anatumia ID fake humu.Kwahiyo unataka hii forum ifanye nini kwa wanaotukana?anayetukana ni subscriber na sio platform jamaa yangu(ukifungia platform kwa madai yako ni upumbavu tu na ushamba)
 
Haya mambo hayatusaidii kama taifa zaidi ya kuongeza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao! Nani huwa anawashauri hawa viongozi wetu
Mwashambwa ni Mmoja Wa washauri tutegemee nini mkuu?
 
Nchi ngumu sana hii kosa kubwa kwa jf ni kuwa mzawa wa bongo ungekuwa ni wa nje usinge sumbuliwa sana
 
Sawa sawa!naona huo ndio msimamo wa kudumu was jukwaa hili,ulivyoamuliwa na the state ili kulinda mstakabali was taarifa za kina na member humu!!

Ni wazi vpn ndio njia pekee iliyobaki na Kwa matumizi ya vpn itatulinda vizuri dhidi ya maharamia yajayo!!
 
Back
Top Bottom