Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla.
---
Ninyi vilaza mfano mloutoa wa TICS unafanana na mkataba wa DP world?
mkumbuke kuwa watu hawapingi uwekezaji ktk bandari bali vpengele vilivyopo kwenye mkataba.
Nyambafu wakubwa
 
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla.
---
Hawa nao ni chawa japo wamejifungia nyuma ya dini. Wanatetea waarabu waliowaletea huo uhunxx wao unaoitwa diniiii
 
Tuchangie kwa weredi mkubwa ila tusihusishe dini maana mikataba ya zamani kwa asilimia kubwa hakukuwa na uhuru kama huu wa matamko,
Mf: Mkataba wa madini ulisainiwa mwaka gani?? Je kanisa au Uislamu unaotoa matamko ukuwa na mlengo upi..??
Kwa sasa maliasili ziko chini ya Mh. Raisi tunayemchagua Wananchi na wananchi tunakutana sana kwenye nyumba za Ibaada na tunakuwa na nguvu moja jambo likitoka kanisani au Msikitini kulingana na imani ya mhusika. Kama ulivyotoka waraka kwa nini MKATABA usisambazwe kwenye njia ambayo hukutanisha watu wengi (Misikitini na Makanisani) ujadiliwe kuhusu faida na hasra zake ili tuwe kitu kimoja kwenye kutoa maamuzi
 
Mazuzu at work
Si kama wale mazuzu wanakubali kuna mtu aliwahi kuzaliwa bila ya baba yaan wanakuwa mazuzu maisha yao yote hao huwaoni unaniona Yesu ana kazi kweli pamoja na kuwakomboa ktk dhambi lkn kazi bure nyie wakristo mna shida gani lkn
 
c) Na kwa kuwa serikali sikivu ya awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dr Samia Suluhu Hassan imeahidi kusikiliza na kurekebsha kasoro zote zilizoainishwa kwa maslahi ya taifa
Undumila kuwiki ndio huu. Kipengele (b) wanasema swala limeshamalizwa mahakamani na serikali sikivu then (c) eti watapokea maoni. Maoni ya nini sasa kama swala limeshamalizkwa kisheria mahakamani?
 
Wao sasa wanasemaje juu ya kifungu kwa kifungu cha mkataba ? Biriani ukishiba sana ni hatari
 
Elimu ni muhimu kweli tena, hivi iyo nikataba mibovu ya uko nyuma nyie mliokuwa mnaiona kwanini hamkuioinga?! [emoji848] Yaan mpaka TEC wapinge nanyi ndio mpinge?
Kwa kuwa tec wamepinga basi nanyi kuonyesha kuoingana na TEC ndo mnaupitisha bila sababu maalum,
Hii jamii ni kuwa nayo macho sana itatupeleka kusiko, wajaribu kujitafakari japo kidogo
Na ninani anawaongoza hawa vipofu?
Huu mkataba una mapungufu mengi ambayo hawa ndugu zetu wangetuelewesha faida zake
 
Tumia akili
 
Viongozi wa TEC 100% ni Phd holders lakini BASUTA 100% wana Elimu ya Madrasa kukariri Juzuu 30.

Yaani Viongozi kabisa wa BASUTA wanatoka hadharani na kusema kwamba wanawaamini viongozi wa serikali ?? Make hapo kanza ncheke ,seriously?? Really? Viongozi wenyewe kina Nape? Gerson Msigwa?? Katelephone??

Elimu Elimu Elimu - ENL 2015
 
Si kama wale mazuzu wanakubali kuna mtu aliwahi kuzaliwa bila ya baba yaan wanakuwa mazuzu maisha yao yote hao huwaoni unaniona Yesu ana kazi kweli pamoja na kuwakomboa ktk dhambi lkn kazi bure nyie wakristo mna shida gani lkn
Kwanini Quran inasemaje. Yesu alikuwa na baba kwenye Quran.
 
Hawa ma she he ni weupeeeeeeeeeeeeeeee kichwani hawana hoja kabisa,yaani badala ya kujadili hoja iliyoko mezani wao wanamjadili mtoa hoja loooooooooooh? Tooooo gullible Kama hao ndo waliaminiwa ndo wawe viongozi wa wenzao vipi wanaoongozwa si ni majanga kabisa
 
Kwa hiyo hawa Basuta wanaelewa kabisa kulikuwa na mikataba ya hovyo huko zamani, wao wakakaa kimya na sasa wamejitokeza kuunga mkono mkataba wa hovyo.
 
Kwani waraka wa TEC unamaamuzi gani, wewe pinga au kataa ila maaskofu wa TEC na wanachokipinga ni mikataba mibovu!

Mikataba mibovu itakayo tuingiza kwenye hasara.
Dini zingine wakubali au wapinge mkataba ni haki yao wafanye wanavooona. Hii inategemea na kiasi cha ufinyu wa maono ya viongozi wa hizo taasisi zao.
Ufinyu unaowafanya kupokea Rushwa na kuanza kuchanganya mambo badala ya kuja na hoja wao wanakuja na udini.

Tunachanganya sana mambo sjui kwa makusudi sababu ya kupewa Rushwa na genge la wachavhe wenye tamaa mbele zaidi ya utaofa.
Kwa kutoelewa na eu kwa maksudi ya tamaa za kipumbavu na ufinyu wa elimu.
Hakuna sehemu kwenye waraka wa Maaskofu iliyotaja mashekhe wala uisilam, bali hoja yao ni mkataba kuhusu bandari, nafikri wanaoupinga maaskofu wapinge kwa hoja kama wao siyo kuleta swala la udini

Hii "Basuta" ni genge la wapumbavu wanaoishi mjini kwa kutegemea kanzu!

Waislamu wa sasa sio hii type ya "BASUTA" maana tunao waislamu wasomi waliobobea na wanajitambua tofauti na hawa mburula wa Basuta ambao tunastahili kuwa-suta humu.
 
Ni vyema kujikita katika mkataba kuliko kushambulia watoa maoni wengine.
 
Ni wapumbavu tu wapuuzwe
 
Hivyo basi, sisi BASUTA tusingependa kujikita kwenye mjadala wa vipengele mahususi
wa Mkataba wenyewe wa bandari tukiamini mchakato unaenda vizuri na maslahi mapana ya taifa yatafikiwa.
Hawa wamejikita kuwakosoa Tec tu, badala ya wao kujenga hoja za kuunga mkono mkataba....kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…