Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kulianzisha nenda kaongee na wale mashehe wa uhamsho.Basuta nawashauri kama vipi tulianzishe tu
Punguza hasira.Aja ujinga hapo panahitaji elimu gani kama sio upumbavu wenu mmekalilishwa na nene elimu, wewe mwenyewe huna elimu ya kueleweka kabisa.
Hapa ndio nimeamini kuwa kigezo cha kupata Cheo cha Ushekhe ni wingi wa mjini anayofuga na sio elimu na hekima... Sasa kitu gani hiki wameandika na kuleta ktk umma wa watanzania.... Na shukuru Mungu nilitaka huku.. Akili yangu ingekuwa zero iq loh🤔Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla.
---
Waraka ukiwa negative, maokoto ya kampeni sahau😂Wasanii tunakuja na waraka mzito
🤣🤣🤣Hongera sana basuta
Shida ni undugu na mwarabu katika dini umeondoa uelewa katika jambo kubwa la kutumainiwa na nchi. Hatukatai uwekezaji ila uwe wenye kutunufausha haijalishi nani anawekeza. Akiwa mbingo na anavigezo Sawa tu ilimradi kuwe na utaratibu mzuriHakuna. Wao wanalalamika kwanini hawakupinga mikataba ya zamani Bali wanaupinga huu.
Ila ndo uhalisia bongo wengi wadini , basi tu hazijatokea scenario, hili la bandari mwanzo mzuri wa kufichua hali halisiHekima
Hekima inawaongoza kukaa kimya hata kama mnaelekea kutengana katika UTANZANIA wenu kwa sababu ya dini zenu
Masheikh wamekuja na logical fallacy inaitwa Redd HerringWamejibu Hoja?.
Hiyo mikataba mingine ilikuwa leaked kama huu?
TobaHapo mwenye akili saaana kidato cha nne failure kama kuna mwenye digrii hata choo anachotumia anachotea maji ya kuchamba na kopo lenye kutu!
Brother kama kweli ww ni muumini, basi kuna jambo kubwa la kujitafakari elimu dunia wengi wameipa kisogo, ni muda muafa wa kuhimizana on the long run haisaidii. Maana nchi haiendeshwi na imaniUpande wa pili wasemacho kina nguvu!?..unapimaje nguvu!?..upande wa pili walitoa waraka wanatoa maagizo kondoo kuanza kulia kwa makelele ya juu,kondoo namaanisha kwenye kila sekta,so ni sawa na kuitikia 'amina' kwenye Misa..ni makelele tu,hakuna nguvu yoyote,ndiyo maana Maza 'kakaa tu kimya' na soon tunasaini 'hga' na mwarabu ili chapu kazi ianze
Mkuu hii umeiweka vizuri,Masheikh wamekuja na logical fallacy inaitwa Redd Herring
Jaribio la kubadilisha mada au ku divert hoja kutoka kwenye hoja ya msingi kwenda upande mwingine
Yani trafiko amekukuta unaenesha gari rafu ukiwa umelewa unahatarisha usalama wa watu. Anakuandikia faini kwa kosa hilo
We unasema " sipaswi kulipa faini kwa uendeshaji hovyo wa gari. Kuna watu wengi mtaani ambao ni wahalifu na hatari na polisi mlitakiwa mhangaike na hao na sio kunisumbua mlipa kodi kama mimi"
Ni kweli wahalifu wa hatari mitaani wapo lakini hiyo ni ishu nyingine. Hoja ya msingi ni je ni kweli umefanya kosa? Unastahili kulipishwa faini kwa kosa hilo?
Sasa masheikh kwa hoja zao inaonesha dhahiri wamekiri kuwa kuna tatizo kwenye huu mkataba ila hoja yao kubwa ni kwamba huko nyuma kulikuwa kuna mikataba mibovu pia so watu wanabidi wakubali huu mbovu kwasababu ya rekodi za miaka ya nyuma.
Acha kufananisha Simba na mambo ya kipimbiHawa kama Simba Sports Club.
Kuna matabaka ndani ya uongoziMkuu hii umeiweka vizuri,
Na kwenye hili mm naamini pale chama cha kijani kuna watu hawaelewani maana hili kataba nina asimia nyingi tungekuja kustukia vifaa vishatua bandarini hapo kama mikataba mingine ya kila siku, je hii aliyevujisha ana lengo gani hasa bado sijapata jibu