Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Ni CCM tena, Chama Cha Matatizo yote Tanganyika..ila mara hii CCM italeta balaa zito.

Sasa wale waliokuja na hoja za udini badala ya kujadili vipengele vibovu kwenye mkataba usishangae watakaa kimya kisa Answaar wameongea!
 
Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.

Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
[emoji112][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haijawa leaked ila watu wanajua ukweli kuhusu hiyo mikataba. Sasa shida ni kuwa leaked au kujulikana kile kilichomo kwenye mikataba ?

Tumia akili.
Dah ujinga wao hawauoni na kujifanya wana sole rights ya kusemea watanzania wote kwa slogan za kijinga.
 
Hiyo haikuwa ajenda Yao Bali kukemea unafiki na undumilakuwili wa TEC
 
CC FaizaFoxy , THE BIG SHOW , Sir John Roberts ,

Hivi hakuna utafiti uliowahi kufanywa kuonyesha kwa nini hawa watu kwa Tanzania brain zao zipo hivi!!??
Ukitaka kujua brain zao halisi muangalie Prof Nguli na former CAG prof Assad au the Fullbright professor ambaye rekodi yake UDSM haijawahi kuvunjwa Prof Lipumba..bado sijamtaja Dr Dau one of the very bright former student pale UDSM ... ndo utajua wakoje...
 
Hili ndo tatizo la elimu ya madrasa. hawana uwezo wa kujikita kwenye contents za mkataba na kuudadavua badala yake wanatumia hoja dhaifu za kukosoa matamko ya taasisi na wadau wengine waliojikita zaidi kuuchambua mkataba na kuukataa. Ni bora wangenyamaza tu kuliko kutuletea aibu kama hii ya kutokuwa na weledi wa mambo.
 
Only 3 out of 20 Millions!!??
 
Kwa hiyo kwa sababu wamefungia macho mikataba ya hovyo iliyopita na huu waufumbie macho?
 
Uelewa wako ni finyu sana.
Hujaelewa nilichokiandika
tena kwa maneno
machache sana.
Soma upya nilichoandika.
Usipoelewa tena utakuwa
limbukeni.
 
Hivi,wanapaswa kutoa mawazo yao kuhusu DP World au kushutumu wengine waliotoa maoni yao?Kwa nini hawataki kujifunza kukubaliana kutokukubaliana?Wakiambiwa maneno makali watajinunisha kwa akili hizo kweli?

Bado ni hao hao wa DPW ndio wanaohangaika na TEC. Tutajionea mengi awamu hii.
 
Aisee yaani Kuna watu ni wapuuzi sana, leta hoja zako kwanini una support mkataba sio kusema kwa kua huko nyuma mikataba mibovu ilipita na huu upite

Zero iq

Eti imekuwa ni ushindani! Kisa ilipita mikataba ya hovyo huko, na huu upite! Hawa watu hata akili zao hazieleweki. Ila hawa huwa wanatumika kirahisi sana na watu wenye malengo yao ya kohomola. Hawana chochote wanachopata hapo, zaidi wanatumika kwa bei chee na kuchochowewa udini. Miaka yote huwa hawanufaiki na kitu, ila wakidangangwa kidogo wanajaa [emoji19]
 
Hizo ndio akili wanazosikiliza CCM. Wakitetea mkataba hakuna hata kifungu kimoja wanachosema kiko sawa au hakiko sawa. Ni kama kasuku vile
 
Na wewe ni zero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…