Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Watu wenyewe BASUTA hapo unatarajia nini?
Hao nao ni wataalam wamekaa ndani wakajadili siku kadhaa wakatoka na andiko la kutetea mwenzao badala ya kujibu hoja
 
Hivi,wanapaswa kutoa mawazo yao kuhusu DP World au kushutumu wengine waliotoa maoni yao?Kwa nini hawataki kujifunza kukubaliana kutokukubaliana?Wakiambiwa maneno makali watajinunisha kwa akili hizo kweli?
Inashangaza sana.

TEC wametoa tamko na kuweka bayana hoja na mtazamo wao.

Wenyewe wabawajibu TEC badala ya kutoa mtazamo wao
 
Bakwata ndio chombo rasmi cha waislam! achana na hawa wasiojielewa! Bakwata wakishirikiana na viongozi wengine wa dini tayari walishatoa mapendekezo yao!! Bakwata kuna wasomi huko, achana na hawa wavaa kanzu fupi!
 
Wewe ni mjinga kabisa
Bora mm mjinga kuliko wale Mapadri wajinga waliotoa waraka kanisani halafu wanataka serikali iwasikilize wao kwani hii nchi inaongozwa na kanisa
Nyie Wakristo sijui mna shida gani Yesu alifanya kazi bure ya kukomboa dhambi lkn hakuna alichofanya Ya Mungu mpeni Mungu na Ya kaisari mpeni kaisari
 
Hii nchi sio ya kikristo kwa Tec muwe kwanza mnaelewa hili mnapoa toa ushauri muwe kwanza mnafikiria na sio kila mnalotaka ni lazima lifanyike mamlaka yenu yanaishia huko kanisani tu
Japo kuwa makataba una mapungu lakn na unatakiwa urekebishwe na nyinyi Wakristo mna mapungufu mambo ya viongozi wa dini kuingilia kazi serikali sio nzuri mnazalisha tatizo kwa ufinyu wa akili zenu na zilivyokuwa na matope hamlioni hili tatizo tukiendekeza sana viongozi wa dini mwisho watupanda vichwani wakati kuna serikali
Ya Mungu mpeni Mungu na Ya kaisari mpeni kaisari
 
Katiba yetu Tanzania inasema serikali ndio fainal say mjadala ukienda bungeni unajadaliwa mwisho raisi ana piga sign sasa nyie Tec hapa mnapaswa kutambua hii nchi inaongozwa na katiba mamlaka na nguvu yenu yanaishia kanisani kwenu tu huko Msiipande serikali kichwani
Haya mambo ya viongozi wa dini kuipangia seriakali cha kufanya tukiendekeza hili kuna siku litatokea litapinga itakuwa mwendo wa kupinga kwa viongozi wa dini kuhusu mambo ya nchi wakati kuna serikali achen mambo yenu

Yesu akirudi Leo hata hili nikimuuliza tupe ufafanuzi juu ya mkatba wa DP najua atasema "Ya Mungu mpeni Mungu na Ya kaisari" ila kama nae atakuwa zuzu kama nyinyi atakuwa upande wenu wakati andiko kutoka ktk biblia takatifu lipo wazi

Yes mkataba unamapungufu sana na ibidi urekebishwe kwa kweli lakini mambo ya Askofu Sheikh Padri Mchungaji kuingilia serikali kazi zake hatutaki inatakiwa tubadilishe katiba ambayo itabana viongozi wa seriakali ili wasifanye madudu
 
Hivi hawa hàwajachanganya dini na siasa kweli! Hawajasikia katazo la kuchsnganya dini na siasa? Au hawa siyo taasisi ya kidini kama wengine wanaoambiwa kuwa wanachanganya dini na siasa kwa kutoa maoni yao kuhusu mkataba huu unaolalikiwa?
 
Katika suala la DP world ndio limekuja kuonyesha asilimia kubwa ya Wakristo hawana akili
Mimi nilitegemea hapa ndipo pa kuibana seriakali ibadilishe katiba kwa kiongozi kuhusu suala la mikataba yaan mikataba inabidi iye ya wazi na pia kiongozi atakaeingia mkataba mbovu inabidi ashtakiwe na afungwe na apokonywe mali zake

Jaribu kufikiria jambo moja kama katiba ipo hivi inamaana mikataba isipovujishwa tutakuwa hatujui na wataendelea kuingia mikataba mibovu na Pia viongozi wa dini endapo hawajiona je watatoa waraka saa ngapi na mpaka lini viongozi wa dini watatuwa wanatusemea wakati uwezo wa kubadilisha katiba tunao ili tuwape adhabu viongozi wa serikali wasiokuwa na uaminifu

Ili la DP World pia limekuja kuonyesha Wakristo wengi hawana uwezo wa kufikiria wanafikiria hapa na hawafikiri na kesho maana kama unafikiria kesho unatakiwa ujiulize kama siku mkatba isipovujishwa kama wa DP je tutajuaje mapungufu ya mkataba na je tuweke kitu gani kukomesha hili

Elimu zenu mlizosoma ni za kupata kazi ili muendeshe maisha yenu msijifanye mnaa akili sana kama mngekuwa na akili sana maraisi Wakristo wamepita wengi ila nchi ipo vile vile

wee umeuona nchi gani kuna serikali halafu eti viongozi wa dini wanatoa muongozo jinsi ya kuendesha serikali hii akili au matope na hii inatokea kwa nchi yenye mazuzu wengi kama Tanzania tu

Katiba kama China hapo ukiiba seriakli unanyongwa au kufungwa jela kwanini na sisi tusiweke katiba kama hii kuliko kutegemea viongozi wa dini na tutawategemea mpk lini Badilikeni hatutaki viongozi wa dini kuiongoza serikali
"YA MUNGU MPENI MUNGU NA YA KAISARI MPENI KAISARI" Marko 12:17
 
Back
Top Bottom