Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Wametoa waraka kuunga mkono uwekezaji au kushutumu waraka wa wenzao ?......
Inabidi waislamu wawapinge hawa watu wao, maana wanawadhalilisha kwa kiwango cha SGR. Yaani ukisoma matamko yao, tena wengine kakaa shehe mmoja tu na kuto tamko binafsi, UNAWEZA UKADHANI TEC NDO WANA MKATABA NA DPW..!!
 
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao
The devil is at work trying everything possible to manipulate the thinking capacity of the intelligent mammals to side with the evil missions whose approach shall not be accorded with the aspired instruments to exploit the natural resources of the country. (TNG_TZ)
 
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa"


View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1694707474065227802?s=20

Hapo mwenye akili saaana kidato cha nne failure kama kuna mwenye digrii hata choo anachotumia anachotea maji ya kuchamba na kopo lenye kutu!
 
Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.

Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Upande wa pili wasemacho kina nguvu!?..unapimaje nguvu!?..upande wa pili walitoa waraka wanatoa maagizo kondoo kuanza kulia kwa makelele ya juu,kondoo namaanisha kwenye kila sekta,so ni sawa na kuitikia 'amina' kwenye Misa..ni makelele tu,hakuna nguvu yoyote,ndiyo maana Maza 'kakaa tu kimya' na soon tunasaini 'hga' na mwarabu ili chapu kazi ianze
 
Back
Top Bottom