Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na
Duuu BASUTA inaitaka Serikali ikaze Uzi kutokukubali kukubali mashinikizo ya kundi lolote lile. Experience shows that makundi ya UISLAM WA SIASA KALI Duniani kote huwa wanakinzana na Serikali. Hata huko Saudia na Egypt imetokea hiyo. Sasa kama hawajui ni kwamba Huyo Rais wetu ingawa ni mswalihina mzuri, avaa Hijabu, Bado ni Mserikali tuu. We ngoja wake na hoja zao za kijahidina atawashangaza siku si nyingi
 
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa"

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1694707474065227802?s=20

Wasanii tunakuja na waraka mzito
 
Upande wa pili wasemacho kina nguvu!?..unapimaje nguvu!?..upande wa pili walitoa waraka wanatoa maagizo kondoo kuanza kulia kwa makelele ya juu,kondoo namaanisha kwenye kila sekta,so ni sawa na kuitikia 'amina' kwenye Misa..ni makelele tu,hakuna nguvu yoyote,ndiyo maana Maza 'kakaa tu kimya' na soon tunasaini 'hga' na mwarabu ili chapu kazi ianze
Hamna akili na ndio maana tunawadharau.
 
KATOLIKI KKKT BAKWATA WALOKOLE MASHAHIDI WA YEHOVAH BASUTA
Ya Mungu mpeni Mungu na Ya Kaisari mpeni Kaisari
Hapa sio bure inaonekana kila upande una maslahi maana tunapokwenda tutakuwa tunaongozwa na viongozi wa dini bora kila mtu abaki kuwahudumia waumini aya mambo ya nchi wayaache maana hata hizo dini zenyewe magumashi matupu
 
Wakristo mnajiona mnaakili lakini hata nyinyi ni wale wale hamna lolote

Katika karne ya 21 bado unaamini kuwa kuna mtu alizaliwa bila ya baba au kafa na kufufuka huu sio ujuha kweli
Yaan nyinyi ndio mnajiona mnaakili na kama mngekuwa mnaakili maraisi wakatoliki wamepita bado nchi yetu ipo pale pale wamefanya lipi ?

Wanachopinga BASUTA sio kutetea mkataba bali wanachooji hapo kuwa miaka yote walikuwa wapi kupinga mikataba mibovu kwanini leo waje au kuna masalahi walikiwa wanafaidika na lengo la hao BASUTA ni kutaka kukomesha hii tabia kama kazi ya Katholiki kupinga maovu ya nchi basi wapinge yote
 
KATOLIKI KKKT BAKWATA WALOKOLE MASHAHIDI WA YEHOVAH BASUTA
Ya Mungu mpeni Mungu na Ya Kaisari mpeni Kaisari
Hapa sio bure inaonekana kila upande una maslahi maana tunapokwenda tutakuwa tunaongozwa na viongozi wa dini bora kila mtu abaki kuwahudumia waumini aya mambo ya nchi wayaache maana hata hizo dini zenyewe magumashi matupu
Aise hapo kwa Mashahidi wa Yehova umewasingizia. Hawa jamaa wao Wana mind business zao na family zao tu. Hata hutawasikia kujiingiza hii malumbano.
 
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa"

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1694707474065227802?s=20

Tukisema kichwani hamna kitu, muwaache wagalatia hamuwezi kupambana nao mnatoa povuuuuu
 
Badala ya kuja na hoja juu ya vipengele vya mkataba wao wanasema tayari vimeshajadilwa, sasa hii inakuwa vipi??? Tena katika hili hupaswi kumu attack mtu/taasisi directly wee jibu vifungu alivyodai vina utata njoo na argument yako kuelezea umakini wake

Sasa ukija na ushubwada kama huu ambao ni mipasho badala ya uchambuzi wa kina mnaonesha ni kwa namna gani mlivyo weupe kichwani

As a matter of fact, govt works on paper, je kuna document yoyote ambayo imetoka serikalini inafafanua kifungu kimoja baada ya kingine? Ningependa kuipata kama ipo niisome kwa makini
Labda wamepewa Hawa mashehe ubwabwa
 
Wakristo mnajiona mnaakili lakini na nyie ni wale wale tu
Karne ya 21 unakubali kuwa kuna mtu alizaliwa bila ya baba hivi leo leo akirudi najua hawezi rudi na hana uwezo wa kurudi si tunampeleka pale muhimbili kupima DNA yake kwa vyovyote tutamjua baba ake maana baba anatoa chromosomes 23 na mama 23 jumla zinakuwa 46 ikikosekana hata chromosome moja mtu anaweza akazaliwa mlemavu sasa kukubali kuwa kuna mtu alizaliwa hana baba tena katika jamii iloyokuwa na ujinga haijui mtu anazaliwa kwa njia gani na ww still mpka leo ukaendelea kukibali hizi hadithi za kubuni na kutunga je sio uchizi na ujuha wa maisha ?

Katika nchi imeshaongozwa na maraisi wakatoliki ambao mnajiona mnaakili je mbona nchi ilikuwa vile vile umaskin na hatukuona hizo akili zenu

BASUTA wao lengo lao ni kutaka kukomesha hii tabia kama kazi yako kupinga maovu ya nchi basi pinga yote tujue kweli wewe msema kweli maovu kibao ya nchi na pamoja na mikataba mibovu ilihowahi tokea mbona hawajapinga au walikuwa wanapata masalahi Hoja kama Katoliki kazi yao kupinga mabaya ya serikali basi wapinge mabaya yote ndio BASUTA hao
 
Duuu BASUTA inaitaka Serikali ikaze Uzi kutokukubali kukubali mashinikizo ya kundi lolote lile. Experience shows that makundi ya UISLAM WA SIASA KALI Duniani kote huwa wanakinzana na Serikali. Hata huko Saudia na Egypt imetokea hiyo. Sasa kama hawajui ni kwamba Huyo Rais wetu ingawa ni mswalihina mzuri, avaa Hijabu, Bado ni Mserikali tuu. We ngoja wake na hoja zao za kijahidina atawashangaza siku si nyingi
Ona ha Wahhabi (siasa kali) wanailalamikia Serikali ya Saudia kwa sababu inafungulia mtu kuishi kwa uhuru. Serikali Ina Agenda zake za kiuchumi wao wanaletaawazo ya kimjahidina- kilichowapata nafikiri kila mtu akijua

View: https://m.youtube.com/watch?v=-ITUE3q6pEI&pp=ygUuU2F1ZGkgQXJhYmlhIHR1cm5pbmcgYWdhaW5zdCBNdXNsaW0gV2FoaGFiaXNtIA%3D%3D
Pia kule Abu Dhabi Serikali imeingia kwenye mgogoro na Islamist kwa sababu ya kutambua umuhimu wa Dini ya Kikiristo; Msikiti Serikali imeamuri upewe Jina Mary Mother of Jesus Mosque.
F4EMFzlWQAAwwGg.jpeg
 
Back
Top Bottom