Wakristo mnajiona mnaakili lakini hata nyinyi ni wale wale hamna lolote
Katika karne ya 21 bado unaamini kuwa kuna mtu alizaliwa bila ya baba au kafa na kufufuka huu sio ujuha kweli
Yaan nyinyi ndio mnajiona mnaakili na kama mngekuwa mnaakili maraisi wakatoliki wamepita bado nchi yetu ipo pale pale wamefanya lipi ?
Wanachopinga BASUTA sio kutetea mkataba bali wanachooji hapo kuwa miaka yote walikuwa wapi kupinga mikataba mibovu kwanini leo waje au kuna masalahi walikiwa wanafaidika na lengo la hao BASUTA ni kutaka kukomesha hii tabia kama kazi ya Katholiki kupinga maovu ya nchi basi wapinge yote

Acha kuwalisha mawazo yako, hawajasema hivyo ulivyosema wamesema watajibu hoja kwa hoja,
Wana jf wanachambua je hizo ndizo hoza kweli au ni kushtumu na kulalamika juu ya TEC? Na hapa ndipo wanauona uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo yenye maslahi kwa taifa.