Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Ona ha Wahhabi (siasa kali) wanailalamikia Serikali ya Saudia kwa sababu inafungulia mtu kuishi kwa uhuru. Serikali Ina Agenda zake za kiuchumi wao wanaletaawazo ya kimjahidina- kilichowapata nafikiri kila mtu akijua

View: https://m.youtube.com/watch?v=-ITUE3q6pEI&pp=ygUuU2F1ZGkgQXJhYmlhIHR1cm5pbmcgYWdhaW5zdCBNdXNsaW0gV2FoaGFiaXNtIA%3D%3D
Pia kule Abu Dhabi Serikali imeingia kwenye mgogoro na Islamist kwa sababu ya kutambua umuhimu wa Dini ya Kikiristo; Msikiti Serikali imeamuri upewe Jina Mary Mother of Jesus Mosque.
View attachment 2727457

View: https://m.youtube.com/watch?v=QqV_gZRboDE&t=8s&pp=ygUnU2F1ZGkgQXJhYmlhIG1vdmVzIHRvIHJlc3RyaWN0IFJhbWFkYW4g
 
BASUTA wao lengo lao ni kutaka kukomesha hii tabia kama kazi yako kupinga maovu ya nchi basi pinga yote tujue kweli wewe msema kweli maovu kibao ya nchi na pamoja na
Kwanini hilo jukumu la kupinga maovu wapewe TEC tu? wakipinga wao wanakatazwa? Aacheni upumbavu njoo na hoja za msingi za kukubali huo mkataba wa dpw, mambo ya biblia waachie wao na waumini wao.
 
BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa".

Binafsi nimesikitishwa sana na hizo hoja za kijinga na kipumbavu kabisa zilizotolewa hapo juu.
Hivi kama huko nyuma iliingiwa mikataba ya hovyo, ndio kigezo cha watu kutohoji mikataba yenye masharti ya kipumbavu kabisa na inayoitweza nchi yetu kama huu wa DP World?!
Hebu nyie mashehe mtuache kidogo.
Kama vipi hamieni huko huko Uarabuni kama mnawapenda sana Waarabu kuliko nchi yenu.
 
Kwanini hilo jukumu la kupinga maovu wapewe TEC tu? wakipinga wao wanakatazwa? Aacheni upumbavu njoo na hoja za msingi za kukubali huo mkataba wa dpw, mambo ya biblia waachie wao na waumini wao.
Wao si ndio wanajifanya wanasema kweli miaka yote ya dhambi na mabaya na mikataba mibovu wanayoingia serikali walikuwa wapi mbona wanapinga kwa kuchagua matukio
Nyie wakristo mnadhambi sana that's why mlimpa shida yesu kuwakomboa ktk dhambi ajab mumekombolewa dhambi still mnatenda dhambi hao mapadri ni wanafki tu miaka yote walikuwa kimya au walikuwa wanapata maslahi
 
Hao Ansar Sunna nao wameingia kwenye mtego. Baadala ya kujadili yaliyomo kwenye waraka hasa vifungu vinavyopingwa na TEC wao wanashambulia TEC kwanini walikaa kimya mikataba ya nyuma, bila kujua huu mkataba ulivujishwa.
 
TEC wameongea na mwenye mbwa, shida mwenye mbwa yupo kimya, mbwa wake ndio wanabweka.
 
Wao si ndio wanajifanya wanasema kweli miaka yote ya dhambi na mabaya na mikataba mibovu wanayoingia serikali walikuwa wapi mbona wanapinga kwa kuchagua matukio
Nyie wakristo mnadhambi sana that's why mlimpa shida yesu kuwakomboa ktk dhambi ajab mumekombolewa dhambi still mnatenda dhambi hao mapadri ni wanafki tu miaka yote walikuwa kimya au walikuwa wanapata maslahi
Mikataba ya nyuma haikuvujishwa ila huu wa DP ndio ulivujishwa. Tuelewe Hilo kwanza. Ndio maana ulikuwa umesainiwa tayari.
 
Ansar Sunna wameniangusha Sana. Nao wameingia kwenye shimo. TEC inanguvu sana , kauli moja tu wote wametoka mafichoni. Bado Tamko la Ahmadiya.
 
Wakristo mnajiona mnaakili lakini na nyie ni wale wale tu
Karne ya 21 unakubali kuwa kuna mtu alizaliwa bila ya baba hivi leo leo akirudi najua hawezi rudi na hana uwezo wa kurudi si tunampeleka pale muhimbili kupima DNA yake kwa vyovyote tutamjua baba...
Basi hapa ndio unajibu hoja za dp world 😂😂😂😂😂🚮🚮
 
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla...
Kwa hiyo tuhalalishe mkataba mbovu kisa huko nyuma tulishawahi kuwa na mikataba mingine mibovu? Hii dini ina majuha kweli...
 
Toeni tamko lenu msikanushe la wenzenu

Tatizo naloliona hapa ni shule hawawezi kuja na tamko kama la TEC ndio mana wameamua kukosoa tamko kuu la watu wenye PhD zao.
 
Mundane,rubbish article,haijajibiwa hata hoja moja ya TEC, akili zote za upande wa pili zinaishia kwenye hatua na Tende
 
Back
Top Bottom