Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.

Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Usipende kujumuisha na wasiohusika, Wa - attack hao hao walioandika, na sio ujumuishe waislamu wote. Acha Chuki zako kwa dini nyingine. Nyie ndo huwa mnasema wachaga wote wabahili, wakati huenda kuna wachaga ambao hata wewe huwafikii kwa utoaji; Au wahaya wote wanapenda sifa , wakati huenda kuna wahaya ambao, wewe kwa mijisifa sifa yako hawakufikii; Au kabila fulani wana roho mbaya, wakati huenda katika kabila hilo kuna watu wana roho nzuri hata wewe huwafikii.

Hivyo usipende sana kuhukumu na wasiohusika, sababu hiko kilichoandikwa haimaanishi waislamu wote wa Tanzania nzima wamekipitia na kukiidhinisha kabla ya kuwa published. Na halikadhilika haimaanishi walichosema /walichoaandika TEC haimanishi wakatoliki wote wamekimepitia na kukiidhinisha kabla ya kuwa published.

Kaa ujitafakari. Usijione bora kuliko watu wengine. Huenda hao unaowadharau wakawa bora zaidi kuliko wewe Mbele ya Muumba wa Mbingu, ardhi na vilivyomo.

ni kichaa pekee atajibu hoja wakati ngoma imeshaisha hiyo, msubirini mwarabu bandarini, hakuna wa kuzuia, mtatoa matamko ya kila aina. Na mwisho wa siku 2025 hao RC ndio wataipigia kampeni ccm maza akiwa mgombea
hapa hatupo kwenye maswala ya uchaguzi , kama waarabu ni wema kwann wasiboreshe huu mkataba ? hapa ndio maana napata majibu kwann waarabu wa sudan hawataki kuoana na nyiny wabantu kumbe hawataki uzezeta wenu huu
 
hapo ni waislam ndo wanaleta udini maana wenzao wameweka hoja zao zisizogusa dini ya mtu ila wao wanashambulia watoa maoni baada ya kuleta hoja zao za kuunga mkono huu mkataba
Ya Mungu mpeni Mungu na Ya kaisari mpeni unafikri kwanini Yesu Alisema hayo maneno
 
Kwa tamko/waraka huu,for sure uelewa wao unatosha kuvukia barabara tu....
Wakiambiwa someni na
Elimu Dunia hawataki.
Usipende kujumuisha na wasiohusika, Wa - attack hao hao walioandika, na sio ujumuishe waislamu wote. Acha Chuki zako kwa dini nyingine. Nyie ndo huwa mnasema wachaga wote wabahili, wakati huenda kuna wachaga ambao hata wewe huwafikii kwa utoaji; Au wahaya wote wanapenda sifa , wakati huenda kuna wahaya ambao, wewe kwa mijisifa sifa yako hawakufikii; Au kabila fulani wana roho mbaya, wakati huenda katika kabila hilo kuna watu wana roho nzuri hata wewe huwafikii.

Hivyo usipende sana kuhukumu na wasiohusika, sababu hiko kilichoandikwa haimaanishi waislamu wote wa Tanzania nzima wamekipitia na kukiidhinisha kabla ya kuwa published. Na halikadhilika haimaanishi walichosema /walichoaandika TEC haimanishi wakatoliki wote wamekimepitia na kukiidhinisha kabla ya kuwa published.

Kaa ujitafakari. Usijione bora kuliko watu wengine. Huenda hao unaowadharau wakawa bora zaidi kuliko wewe Mbele ya Muumba wa Mbingu, ardhi na vilivyomo.
 
Nilitaka nishangae yaani waislamu wanavyopenda ugomvi alafu wakae kimya [emoji28][emoji112]nilijua tu lazima watoe waraka wa kuwaponda watu wa tec
 
hapa hatupo kwenye maswala ya uchaguzi , kama waarabu ni wema kwann wasiboreshe huu mkataba ? hapa ndio maana napata majibu kwann waarabu wa sudan hawataki kuoana na nyiny wabantu kumbe hawataki uzezeta wenu huu
Anzeni kubadili mikataba mliyoingia na wagalatia wenzenu wa kizungu kwanza
 
BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa".
Hii kauli inataka kuingia kwenye makosa ya kiuamuzi ya kutumia mkosa la kimantiki la The Sunk Cost Fallacy 2

Kwamba kama tulishafanya ujinga basi ndio tuendelee kufanya ujinga kwa sababu kama ni gharama za namna hiyo tayari tumeshaziingiaga!???

Lakini pia kama mwishoni wamependekeza👇

11.0 Kwa kuwa imeibuliwa hoja ya ukomo wa Mkataba wa bandari, BASUTA inatoa wito wa kufanywa mapitio ya mikataba mingine isiyo na ukomo, ikiwemo ule ulioingiwa mwaka 1992 kati ya Serikali na makanisa (Memorandum of Understanding) ambapo sehemu ya mabilioni ya walipakodi, hata wasio Wakristo, hutolewa na serikali kwa ajili ya hospitali na vyuo vikuu vya makanisa hayo
Na wako siriazi, na wanakubali kwamba mikataba isiyo na ukomo ni mibovu: basi katika huu mpya hilo jambo liondoke pia.

Na katika mkataba ukivunja tu kakipande basi ni kwamba mkataba umevunjika wote! Sasa hawaoni kama wameshasema mkataba uondolewe? Wameupinga bila kujua.

Sote tukumbuke kwamba 'Two wrongs doesnt make right'. Kama ni mibovu yote basi iondoshwe tu. Au vipengele vibovu vishughulikiwe. Hapo nnaungana nao
 
Qur'an yenyewe haijielewi aliyekuwa anatoa hayo maneno hajui soma wala kuandika sasa hiko kitabu cha kukiamini kweli
Unaweza usijue kusoma wala kuandika lakini ukawa umehifadhi kichwani (memorise). Chukulia mfano wa mtoto ambaye anaweza kuongea, lakini hawezi kusoma wala kuandika anachoongea.
 
Unaweza usijue kusoma wala kuandika lakini ukawa umehifadhi kichwani (memorise). Chukulia mfano wa mtoto ambaye anaweza kuongea, lakini hawezi kusoma wala kuandika anachoongea.
Haliwezekani hilo wengi waliofanya maendleo ya dunia asilimia kubwa wamesoma huwezi kuwa na elimu kubwa wakati ww hujasoma ukiona hivyo kwa vyovyote vile Muhamad alikuwa anapewa ayaa maneno kutoka kwa yahudi au wakristo maana Qur'an ni paste ya Zaburi na Injili na Taurati
 
Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.

Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Wapo wanaopalilia mparaganyiko,ama kwa maslahi ama pasinakujua hili🚶
 
Waisalamu wenzangu hivi ni lini mtaachana na akili za TENDE HALUA? Baraza lilipaswa kujikita kwenye UHALALI na UBORA wa mkataba katika wasilisho la maoni yake. Badala yake wameonesha UPEO wao halisi wa masuala ya kitaifa namna ulivyo FINYU.

AIBU NIMEONA MIMI
AIBU-1.jpg
 
Mzee wenu kauza lolliondo ile sio yetu tena, leo mnampa na bandari na kuna tetesi za chini ya kapeti KIA Nayo bai bai ni suala la muda tu .yan kwenye nchi yenu evry where mtakuta waarabu na watawakagua identity zenu. Uhuru wenu uko wapiii??. Kuna sehemu yeyote wew mweusi unamiliki mali zao kule kwao??? Mnawapa Airports , Bandari,na mbuga za wanyama Nyie mna akili kweli?? Dah Tanganyika nchi yangu roho inauma sana
vipi na wale wazungu waliopewa migodi yetu ya madini, roho haikuumi?
 
Haliwezekani hilo wengi waliofanya maendleo ya dunia asilimia kubwa wamesoma huwezi kuwa na elimu kubwa wakati ww hujasoma ukiona hivyo kwa vyovyote vile Muhamad alikuwa anapewa ayaa maneno kutoka kwa yahudi au wakristo maana Qur'an ni paste ya Zaburi na Injili na Taurati
Huyo unayembeza hakuja kufanya maendeleo ya kidunia. Alitumwa kuondosha Umma kwenye giza / upotevu na kuupeleka kwenye nuru / uongofu
 
Back
Top Bottom