kiufupi swala la kukosoa ni wajibu wa kila mmoja sio TEC tu km wao waliiona mikataba mibovu kwann hawakukosoa ?Bora yako kidogo kama unakuja halafu hauji kwa point yako naweza kukuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiufupi swala la kukosoa ni wajibu wa kila mmoja sio TEC tu km wao waliiona mikataba mibovu kwann hawakukosoa ?Bora yako kidogo kama unakuja halafu hauji kwa point yako naweza kukuelewa
Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.
Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
hapa hatupo kwenye maswala ya uchaguzi , kama waarabu ni wema kwann wasiboreshe huu mkataba ? hapa ndio maana napata majibu kwann waarabu wa sudan hawataki kuoana na nyiny wabantu kumbe hawataki uzezeta wenu huuni kichaa pekee atajibu hoja wakati ngoma imeshaisha hiyo, msubirini mwarabu bandarini, hakuna wa kuzuia, mtatoa matamko ya kila aina. Na mwisho wa siku 2025 hao RC ndio wataipigia kampeni ccm maza akiwa mgombea
zungumzia mkataba wa bandari na waraka wa rc na sio hao katoliki ambao huwajuiTatizo la RC ni kufanya kazi za kijasusi au kitawala kuliko kuhubiri habari za wokovu kwenda mbinguni.
Ndio maana RC ndio Joka la kwenye biblia
Ya Mungu mpeni Mungu na Ya kaisari mpeni unafikri kwanini Yesu Alisema hayo manenohapo ni waislam ndo wanaleta udini maana wenzao wameweka hoja zao zisizogusa dini ya mtu ila wao wanashambulia watoa maoni baada ya kuleta hoja zao za kuunga mkono huu mkataba
Usipende kujumuisha na wasiohusika, Wa - attack hao hao walioandika, na sio ujumuishe waislamu wote. Acha Chuki zako kwa dini nyingine. Nyie ndo huwa mnasema wachaga wote wabahili, wakati huenda kuna wachaga ambao hata wewe huwafikii kwa utoaji; Au wahaya wote wanapenda sifa , wakati huenda kuna wahaya ambao, wewe kwa mijisifa sifa yako hawakufikii; Au kabila fulani wana roho mbaya, wakati huenda katika kabila hilo kuna watu wana roho nzuri hata wewe huwafikii.Kwa tamko/waraka huu,for sure uelewa wao unatosha kuvukia barabara tu....
Wakiambiwa someni na
Elimu Dunia hawataki.
Anzeni kubadili mikataba mliyoingia na wagalatia wenzenu wa kizungu kwanzahapa hatupo kwenye maswala ya uchaguzi , kama waarabu ni wema kwann wasiboreshe huu mkataba ? hapa ndio maana napata majibu kwann waarabu wa sudan hawataki kuoana na nyiny wabantu kumbe hawataki uzezeta wenu huu
Ukiwa na matatizo ya akili usiingie kwenye mijadalakwamba serikali nzima ni wakristu? kikwete na mwinyi walikuwa wakristu ? ukichaa na dini yenu vina uhusiano?
Hii kauli inataka kuingia kwenye makosa ya kiuamuzi ya kutumia mkosa la kimantiki la The Sunk Cost Fallacy 2BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa".
Na wako siriazi, na wanakubali kwamba mikataba isiyo na ukomo ni mibovu: basi katika huu mpya hilo jambo liondoke pia.11.0 Kwa kuwa imeibuliwa hoja ya ukomo wa Mkataba wa bandari, BASUTA inatoa wito wa kufanywa mapitio ya mikataba mingine isiyo na ukomo, ikiwemo ule ulioingiwa mwaka 1992 kati ya Serikali na makanisa (Memorandum of Understanding) ambapo sehemu ya mabilioni ya walipakodi, hata wasio Wakristo, hutolewa na serikali kwa ajili ya hospitali na vyuo vikuu vya makanisa hayo
Unaweza usijue kusoma wala kuandika lakini ukawa umehifadhi kichwani (memorise). Chukulia mfano wa mtoto ambaye anaweza kuongea, lakini hawezi kusoma wala kuandika anachoongea.Qur'an yenyewe haijielewi aliyekuwa anatoa hayo maneno hajui soma wala kuandika sasa hiko kitabu cha kukiamini kweli
Haliwezekani hilo wengi waliofanya maendleo ya dunia asilimia kubwa wamesoma huwezi kuwa na elimu kubwa wakati ww hujasoma ukiona hivyo kwa vyovyote vile Muhamad alikuwa anapewa ayaa maneno kutoka kwa yahudi au wakristo maana Qur'an ni paste ya Zaburi na Injili na TauratiUnaweza usijue kusoma wala kuandika lakini ukawa umehifadhi kichwani (memorise). Chukulia mfano wa mtoto ambaye anaweza kuongea, lakini hawezi kusoma wala kuandika anachoongea.
Wapo wanaopalilia mparaganyiko,ama kwa maslahi ama pasinakujua hili🚶Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.
Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
vipi na wale wazungu waliopewa migodi yetu ya madini, roho haikuumi?Mzee wenu kauza lolliondo ile sio yetu tena, leo mnampa na bandari na kuna tetesi za chini ya kapeti KIA Nayo bai bai ni suala la muda tu .yan kwenye nchi yenu evry where mtakuta waarabu na watawakagua identity zenu. Uhuru wenu uko wapiii??. Kuna sehemu yeyote wew mweusi unamiliki mali zao kule kwao??? Mnawapa Airports , Bandari,na mbuga za wanyama Nyie mna akili kweli?? Dah Tanganyika nchi yangu roho inauma sana
Huyo unayembeza hakuja kufanya maendeleo ya kidunia. Alitumwa kuondosha Umma kwenye giza / upotevu na kuupeleka kwenye nuru / uongofuHaliwezekani hilo wengi waliofanya maendleo ya dunia asilimia kubwa wamesoma huwezi kuwa na elimu kubwa wakati ww hujasoma ukiona hivyo kwa vyovyote vile Muhamad alikuwa anapewa ayaa maneno kutoka kwa yahudi au wakristo maana Qur'an ni paste ya Zaburi na Injili na Taurati
Kabla ya kuanza kupokea ufunuo unajua nani alimtabiria utume MuhammadHuyo unayembeza hakuja kufanya maendeleo ya kidunia. Alitumwa kuondosha Umma kwenye giza / upotevu na kuupeleka kwenye nuru / uongofu