Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Elimu gani muhimu ?

Wakristo jifunzeni kujenga hoja na kukosoa au kujibu hoja.

Hao BASUTA wajitahidi sana kuandika, ukiangalia mpangilio wa uandishi wa Waraka huo na ule wa Maaskofu wa TEC, utaona wazi kabisa umakini uko wapi.
Lazima na wewe umeshiriki kwenye waraka wa BASUTA
 
Wakae kimya huku nchi inauzwa?
Imeuzwa kwa nani ? Mnao ushahidi ?

Nawauliza hivi wao si wanamfata Yesu, je Yesu mafundisho yake yanasemaje zinapo tokea kadhia kama hizi au mfano wake ?

Walitakiwa wawafate viongozi wahusika kwa Siri wawaambie na wawakosoe, ila hii njia wanayo pita ni njia za kiharakati na Wanasiasa, bali ni njia za uchochezi na uharibifu.

Sababu wao ni viongozi wa dini na wanafata mafundisho ya dini, walitakiwa watumie mafundisho ya dini kuliendea hili jambo, kushindwa kwao kufanya kunaonyesha si wa kweli hawana akili, na waharibifu. Inakuwaje kiongozi wa dini unapita mapito ya Wanaharakati na Wanasiasa ? Huku ni kufilisika.
 
Kwani TEC wanawawakilisha kina nani ? Waraka unasomwa kwenye stendi za daladala ?

Wakristo mbona mna akili za kitoto namna hii ? Mnataka kutuambia mpaka muda huu hamuoni udini unao enezwa na Maaskofu ?

Nyinyi wa kupigwa makofi. Halafu dini gani inafundisha kutowatii watawala ? Yesu aliishi zama za viongozi wa waovu, je alikuwa anafanyaje ? Kwanini hamumfati Yesu ?

Sasa akili muwenazo nyinyi na Maaskofu maana naona mnaleta utoto.

Sasa ukija tena uje na hoja.
Wewe ndiye mwenye akili za kitoto kwa kutojadili walichosema TEC na badala yake unawashambulia. Kwani TEC walimshambulia nani? Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo vijembe. TEC wamesema hivyo vipengele ambavyo wameona havina tija kwa taifa. Kama wewe unavitetea onyesha moja baada ya kingine ni kwa sababu gani kina manufaa.

Huo ndio mjadala na siyo kushambulia watu. Hujawahi kushiriki debate shuleni/chuoni? Kama ulishawahi kushiriki kwani kwenye debate huwa wanaruhusu vijembe au hoja ulizonazo? Rudi darasani kajifunze namna ya kujadili hoja, then njoo tena hapa tuendelee kujadili.
 
Heading ingekuwa
Mashambulizi ya Tec.
Nataka sana nimuone Kikwete akisema neno juu ya hawa waumini wenzake.
 
Wewe ndiye mwenye akili za kitoto kwa kutojadili walichosema TEC na badala yake unawashambulia. Kwani TEC walimshambulia nani? Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo vijembe. TEC wamesema hivyo vipengele ambavyo wameona havina tija kwa taifa. Kama wewe unavitetea onyesha moja baada ya kingine ni kwa sababu gani kina manufaa. Huo ndio mjadala na siyo kushambulia watu. Hujawahi kushiriki debate shuleni/chuoni? Kama ulishawahi kushiriki kwani kwenye debate huwa wanaruhusu vijembe au hoja ulizonazo? Rudi darasani kajifunze namna ya kujadili hoja, then njoo tena hapa tuendelee kujadili.
Hoja za TEC walitakiwa wasubiri wajibiwe na wahusika.

Hapa tuna jadili utovu wa nidhamu wa hao TEC. Kila jambo Lina watu wake.
 
Wewe umeshiriki kuandika waraka wa BASUTA, ila mjitahidi kutafuta ata wataalamu wa kujibu hoja
 
Hapa bora wangekaa kimya jamii ya mudi........maana hapa ni elimu dunia tu ndio inazungumziwa lakini yenyewe yanareta elimu ahera..........haya majitu siyasemi vibaya ila bila wakristo yangekuwa yameisha hapa duniani.........hayana akili kabisa .........badala ya kukaa kimya yenyewe ni utumbo utumbo tu
 
Imeuzwa kwa nani ? Mnao ushahidi ?

Nawauliza hivi wao si wanamfata Yesu, je Yesu mafundisho yake yanasemaje zinapo tokea kadhia kama hizi au mfano wake ?

Walitakiwa wawafate viongozi wahusika kwa Siri wawaambie na wawakosoe, ila hii njia wanayo pita ni njia za kiharakati na Wanasiasa, bali ni njia za uchochezi na uharibifu.

Sababu wao ni viongozi wa dini na wanafata mafundisho ya dini, walitakiwa watumie mafundisho ya dini kuliendea hili jambo, kushindwa kwao kufanya kunaonyesha si wa kweli hawana akili, na waharibifu. Inakuwaje kiongozi wa dini unapita mapito ya Wanaharakati na Wanasiasa ? Huku ni kufilisika.
Kama haijauzwa basi jibu hizi hoja..

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
I feel very embarrassed ingawa mimi sio Muislam. Uislamu ni dini kubwa na yenye wazuoni wa maana, how wanakubali wapuuzi wachache wafanye dini yote ionekane ina akili ndogo kiasi hiki?

Mjadala ni Mkataba wa IGA wao wanakuja na mambo mengine tofauti na kushambulia wenzao waliotoa maoni yao. Hawa akili zao zimejielekeza kwenye kutetea watu wa dini yao badala ya issue iliyo mezani.
 
Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.

Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
ngoja tusubiri ule wa BAKWATA yetu 😀
 
Wewe umeshiriki kuandika waraka wa BASUTA, ila mjitahidi kutafuta ata wataalamu wa kujibu hoja
Hoja zina wenyewe wa kujibu, sisi sio kazi yetu hiyo.

Shida ipo kwenu kuleta ujuaji na kutowasikiliza viongozi. Ndio maana tunawauliza mafundisho ya dini yenu yanawaelekeza nini kuhusu mambo kama haya ?
 
Kama haijauzwa basi jibu hizi hoja..

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Kazi ya kujibu hoja ni ya serikali na wahusika wake.

Kingine thibitisheni ya kuwa bandari imeuzwa, maana tunajua kuuza ni nini na kununua ni nini ?

Tunachowataka nyinyi mtulie muache kiherehere.
 
Sasa kama huwezi kuzijibu iweje useme haijauzwa?
 
Hoja za TEC walitakiwa wasubiri wajibiwe na wahusika.

Hapa tuna jadili utovu wa nidhamu wa hao TEC. Kila jambo Lina watu wake.
Wewe ndiye unayepangia ratiba na kitu gani waseme? Kitu ambacho ungeweza kufanya na nikakuelewa ni kuchambua vipengele vya mkataba walivyovizungumzia kuwa havifai na wewe ungekuja na utetezi wako kuwa vinafaa. Hapo ndipo ningeweza kuelewa unachoongelea. Lakini kusema wangesubiri as if walikuwa wamekatazwa kutoa maoni yao haina maana yoyote. Mbona wewe hukusubiri pia kusema ulichoandika humu au wewe ndiye mwenye haki zaidi kuliko wao?
 
Hoja zina wenyewe wa kujibu, sisi sio kazi yetu hiyo.

Shida ipo kwenu kuleta ujuaji na kutowasikiliza viongozi. Ndio maana tunawauliza mafundisho ya dini yenu yanawaelekeza nini kuhusu mambo kama haya ?
Yanatuongoza kiongozi akifanya visivyo ajulishwe

Kasome kisa Cha Daudi
 
Answali Sunna wanajibu nini Bandari za Zanzibar kutokuingizwa kwenye mkataba huu?
 
Back
Top Bottom