ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali Iko focused na masuala yakeNi kazi ya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali Iko focused na masuala yakeNi kazi ya nani?
Lazima na wewe umeshiriki kwenye waraka wa BASUTAElimu gani muhimu ?
Wakristo jifunzeni kujenga hoja na kukosoa au kujibu hoja.
Hao BASUTA wajitahidi sana kuandika, ukiangalia mpangilio wa uandishi wa Waraka huo na ule wa Maaskofu wa TEC, utaona wazi kabisa umakini uko wapi.
Huo muda Sina.Lazima na wewe umeshiriki kwenye waraka wa BASUTA
Imeuzwa kwa nani ? Mnao ushahidi ?Wakae kimya huku nchi inauzwa?
Wewe ndiye mwenye akili za kitoto kwa kutojadili walichosema TEC na badala yake unawashambulia. Kwani TEC walimshambulia nani? Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo vijembe. TEC wamesema hivyo vipengele ambavyo wameona havina tija kwa taifa. Kama wewe unavitetea onyesha moja baada ya kingine ni kwa sababu gani kina manufaa.Kwani TEC wanawawakilisha kina nani ? Waraka unasomwa kwenye stendi za daladala ?
Wakristo mbona mna akili za kitoto namna hii ? Mnataka kutuambia mpaka muda huu hamuoni udini unao enezwa na Maaskofu ?
Nyinyi wa kupigwa makofi. Halafu dini gani inafundisha kutowatii watawala ? Yesu aliishi zama za viongozi wa waovu, je alikuwa anafanyaje ? Kwanini hamumfati Yesu ?
Sasa akili muwenazo nyinyi na Maaskofu maana naona mnaleta utoto.
Sasa ukija tena uje na hoja.
Hoja za TEC walitakiwa wasubiri wajibiwe na wahusika.Wewe ndiye mwenye akili za kitoto kwa kutojadili walichosema TEC na badala yake unawashambulia. Kwani TEC walimshambulia nani? Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo vijembe. TEC wamesema hivyo vipengele ambavyo wameona havina tija kwa taifa. Kama wewe unavitetea onyesha moja baada ya kingine ni kwa sababu gani kina manufaa. Huo ndio mjadala na siyo kushambulia watu. Hujawahi kushiriki debate shuleni/chuoni? Kama ulishawahi kushiriki kwani kwenye debate huwa wanaruhusu vijembe au hoja ulizonazo? Rudi darasani kajifunze namna ya kujadili hoja, then njoo tena hapa tuendelee kujadili.
Wewe umeshiriki kuandika waraka wa BASUTA, ila mjitahidi kutafuta ata wataalamu wa kujibu hojaHoja za TEC walitakiwa wasubiri wajibiwe na wahusika.
Hapa tuna jadili utovu wa nidhamu wa hao TEC. Kila jambo Lina watu wake.
Kwahiyo nani anapaswa kuwajibi TEC?Serikali Iko focused na masuala yake
Kama haijauzwa basi jibu hizi hoja..Imeuzwa kwa nani ? Mnao ushahidi ?
Nawauliza hivi wao si wanamfata Yesu, je Yesu mafundisho yake yanasemaje zinapo tokea kadhia kama hizi au mfano wake ?
Walitakiwa wawafate viongozi wahusika kwa Siri wawaambie na wawakosoe, ila hii njia wanayo pita ni njia za kiharakati na Wanasiasa, bali ni njia za uchochezi na uharibifu.
Sababu wao ni viongozi wa dini na wanafata mafundisho ya dini, walitakiwa watumie mafundisho ya dini kuliendea hili jambo, kushindwa kwao kufanya kunaonyesha si wa kweli hawana akili, na waharibifu. Inakuwaje kiongozi wa dini unapita mapito ya Wanaharakati na Wanasiasa ? Huku ni kufilisika.
ngoja tusubiri ule wa BAKWATA yetu 😀Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.
Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Hoja zina wenyewe wa kujibu, sisi sio kazi yetu hiyo.Wewe umeshiriki kuandika waraka wa BASUTA, ila mjitahidi kutafuta ata wataalamu wa kujibu hoja
Kazi ya kujibu hoja ni ya serikali na wahusika wake.Kama haijauzwa basi jibu hizi hoja..
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Sasa kama huwezi kuzijibu iweje useme haijauzwa?Kazi ya kujibu hoja ni ya serikali na wahusika wake.
Kingine thibitisheni ya kuwa bandari imeuzwa, maana tunajua kuuza ni nini na kununua ni nini ?
Tunachowataka nyinyi mtulie muache kiherehere.
Wewe ndiye unayepangia ratiba na kitu gani waseme? Kitu ambacho ungeweza kufanya na nikakuelewa ni kuchambua vipengele vya mkataba walivyovizungumzia kuwa havifai na wewe ungekuja na utetezi wako kuwa vinafaa. Hapo ndipo ningeweza kuelewa unachoongelea. Lakini kusema wangesubiri as if walikuwa wamekatazwa kutoa maoni yao haina maana yoyote. Mbona wewe hukusubiri pia kusema ulichoandika humu au wewe ndiye mwenye haki zaidi kuliko wao?Hoja za TEC walitakiwa wasubiri wajibiwe na wahusika.
Hapa tuna jadili utovu wa nidhamu wa hao TEC. Kila jambo Lina watu wake.
Yanatuongoza kiongozi akifanya visivyo ajulishweHoja zina wenyewe wa kujibu, sisi sio kazi yetu hiyo.
Shida ipo kwenu kuleta ujuaji na kutowasikiliza viongozi. Ndio maana tunawauliza mafundisho ya dini yenu yanawaelekeza nini kuhusu mambo kama haya ?
Poa.Yanatuongoza kiongozi akifanya visivyo ajulishwe
Kasome kisa Cha Daudi