Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani nitawasifu na nawafurahia. Mnikome sawa?

Akisema haya GENTAMYCINE nitamuamini, Kura yangu ya 2025 anayo na nitamkubali zaidi.

Tofauti na hili ( hapo ) hilo Tamko la CCM si tu kwamba nitaliona ni Batili bali pia nitaliona ni la Kimkakati, limejaa Unafiki na lina Agenda Maalum kwa Lengo Maalum kwa Kipindi hiki na Jambo Mtambuka kwa sasa la Mama, Mwarabu na Bahari yetu.
 
Atafanya la maana akiwakemea na kuwatosa rasmi....
 
Be wise to your own words and your will never harm others.
 
Hivi mkuu GENTA MY SIN una matatizo gani kwani? Unapingana na katazo la UCHAWA wewe ni CHAWA? ChawaWaMama
 
Mleta uzi nikukumbushe umepungukia na vitu vifuatavyo.
1.Comparing yourself with others.Watu wale ambao wewe unawachukia unataka na Rais awachukie?Hujui kwamba atatengeneza uadui?.
2.Blaming others.Unaona kile anachofanya samia hikifai unaona ww ndio bora kuliko samia!.Ndugu kuingoza nchi sio lelemama.Nakushauri kama huna la kufanya utafte la kufanya.
3.Try to understand.
Unapotaka kutoa thread ielewe kwanza kama ni ya kujenga ilete.Kama ni ya kubomoa achana nayo.Maana chini ya jua hakna kilichofichika.
Ni mtazamo wangu kwako ucijali.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani nitawasifu na nawafurahia. Mnikome sawa?
Washa create hii scenario haiwezekan tena kuiondoa! Rais akishakua kama mtukufu malaika au kutukuzwa changamoto kama za uchawa lazima ziwepo tu! Lkn Rais akiwa kama muajiriwa na anajua mamlaka yake yapo mikononi mwa wananchi hawez kubali mamb hayo. So kwa bongo hilo litaendelea san tu.
 
Mleta uzi nikukumbushe umepungukia na vitu vifuatavyo.
1.Comparing yourself with others.Watu wale ambao wewe unawachukia unataka na Rais awachukie?Hujui kwamba atatengeneza uadui?.
2.Blaming others.Unaona kile anachofanya samia hikifai unaona ww ndio bora kuliko samia!.Ndugu kuingoza nchi sio lelemama.Nakushauri kama huna la kufanya utafte la kufanya.
3.Try to understand.
Unapotaka kutoa thread ielewe kwanza kama ni ya kujenga ilete.Kama ni ya kubomoa achana nayo.Maana chini ya jua hakna kilichofichika.
Ni mtazamo wangu kwako ucijali.
Rubbish and Nonsensical.
 
Honestly huwa sielewi hii lugha ya eti kuongoza nchi ni kazi ngumu. Unakuta mtu anasema kuongoza nchi ni kazi ngumu, ila anapora uchaguzi ili akae madarakani kwa shuruti! Huenda hiyo lugha huwa mnanitumia kwa mazoea, ama ina lengo la kuzuia wengine wasijaribu kugombea kuongoza nchi maana wataamini ni kazi ngumu, hivyo mmbaki na goli wazi. Kazi aliyoweza JK na Magufuli nani ataishindwa?
 
Yani mie nakutetea unaniita mnafiki sijui hili au lile , basi ni bora ukitukanwa na kila mtu . Hivi unajua kuwa sio kila mtu ananguvu za kupigana , sikia unakiherehere kama cha mwenyeketi, ndio mAANA sura yako ni inawasi wasi kama kicheche , na pia usinizoee usinitaje kiboya hii ligi sio yako na hunijui so kama hujielewi na umekimbia milembe weeh usinizoee mwehu tu . Unaonekan hujiamini wala hujijui wala nini?? Na sipendi usumbufu , kupigana kuandikiana shit hivyo sipendi nikionaga post zako huwa sifungui maana hujitambui kabisa ujue tu hujamaliza dawa inaeleke a
Posts zangu huwa huzifungui hi Uliyoifungua ni ya nani? Pumbavu kabisa Wewe.

Eti unanitetea hivi GENTAMYCINE nina hadhi ya Kutetewa na Juha Mwandamizi kama Wewe?

Kamtetee Mumeo anayekuzalisha hovyo.
 
Ulizani mie ni mkeo aliyekosa ramani wewe nimicjaa umetoroka milembee na tumejua umetua hapa kuvuruga amani unajijibu mwenyewe huoni wewe ni kichaa
 
Huko Milembe kwa Vichaa nilikuwa na Waliokuzaa. Umesema huwa hufungui posts zangu je, hii ni ya nani?

Juha mkubwa Wewe.
 
Back
Top Bottom