Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

Huko Milembe kwa Vichaa nilikuwa na Waliokuzaa. Umesema huwa hufungui posts zangu je, hii ni ya nani?

Juha mkubwa Wewe.
Tatizo walionizaa wanajitambua waliokuzaa wewe walikutelekeza palw centro police ukapelekwa nyumba za misaada , ukapandwa na kichaa kutoka kwenu ,saivi huna akili umeoa kichaa mwenzio
 
🤣🤣🤣Hawezi manake yeye binafsi ndio muasisi wa chawa,namnukuu;Nina chawa wangu,ukinigusa watakuparua,mwisho wa kunukuu.
🤣🤣🤣Chawa wa sa100
 
Ha
Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani nitawasifu na nawafurahia. Mnikome sawa?

Akisema haya GENTAMYCINE nitamuamini, Kura yangu ya 2025 anayo na nitamkubali zaidi.

Tofauti na hili ( hapo ) hilo Tamko la CCM si tu kwamba nitaliona ni Batili bali pia nitaliona ni la Kimkakati, limejaa Unafiki na lina Agenda Maalum kwa Lengo Maalum kwa Kipindi hiki na Jambo Mtambuka kwa sasa la Mama, Mwarabu na Bahari yetu.
Hana obovu huo, tatizo la machawa hasa lilianzia kwa mtangulizi
 
Uvccm, kitenge na zebwela, kuna mchizi mmoja hujamtaja naye huwa na kiherehere akijiita chawa aliyetukuka kindakindaki ni wapuuzi watupu wale. Wale wanasukumwa na upepo hawana uwezo wa kutoa misimamo yao
 
Honestly huwa sielewi hii lugha ya eti kuongoza nchi ni kazi ngumu. Unakuta mtu anasema kuongoza nchi ni kazi ngumu, ila anapora uchaguzi ili akae madarakani kwa shuruti! Huenda hiyo lugha huwa mnanitumia kwa mazoea, ama ina lengo la kuzuia wengine wasijaribu kugombea kuongoza nchi maana wataamini ni kazi ngumu, hivyo mmbaki na goli wazi. Kazi aliyoweza JK na Magufuli nani ataishindwa?
Hauko mbali na ufalme wa mungu.Ndio hakna kazi rahis kama kuongoza watu.Mleta uzi nilitaka kumwambya asiwe mchonganishi.
 
Back
Top Bottom